Results for baraka za bwana translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

mwenyezi mungu amjalie baraka za kupona haraka.

French

qu'allah le bénisse d'une guérison rapide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

najua ya kuwa nikija kwenu nitawaletea wingi wa baraka za kristo.

French

je sais qu`en allant vers vous, c`est avec une pleine bénédiction de christ que j`irai.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, kristo ndiye aliyeratibisha agano jipya ili wale walioitwa na mungu wazipokee baraka za milele walizoahidiwa. watazipata, kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa watu kutoka yale makosa waliyofanya wakati wa lile agano la kale.

French

et c`est pour cela qu`il est le médiateur d`une nouvelle alliance, afin que, la mort étant intervenue pour le rachat des transgressions commises sous la première alliance, ceux qui ont été appelés reçoivent l`héritage éternel qui leur a été promis.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siri yenyewe ni hii: kwa njia ya habari njema watu wa mataifa mengine wanapata sehemu yao pamoja na wayahudi katika zile baraka za mungu; wao ni viungo vya mwili uleule, na wanashiriki ahadi ileile aliyofanya mungu kwa njia ya kristo yesu.

French

ce mystère, c`est que les païens sont cohéritiers, forment un même corps, et participent à la même promesse en jésus christ par l`Évangile,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wao wenyewe wameamua kufanya hivyo; lakini, kwa kweli, hilo ni jukumu lao kwa hao. maana, ikiwa watu wa mataifa mengine wameshiriki baraka za kiroho za wayahudi, wanapaswa nao pia kuwahudumia wayahudi katika mahitaji yao ya kidunia.

French

elles l`ont bien voulu, et elles le leur devaient; car si les païens ont eu part à leurs avantages spirituels, ils doivent aussi les assister dans les choses temporelles.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hassan belal zaidi (@mightyobvious_), mshauri wa vyombo vya habari," anguka kutoa baraka" za kura za watu wa pakistan . katika makala hii, zaidi aliandika:

French

hassan belal zaidi (@mightyobvious_), un consultant médias, a produit un article intitulé "chute en grâce" pour pak votes . dans son billet, zaidi écrit :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,320,507,281 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK