Results for mgumu translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

huu ni wakati mgumu.

French

la situation est grave.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pambana na makafiri na wanaafiki, na kuwa mgumu kwao!

French

mène la lutte contre les mécréants et les hypocrites et sois rude à leur égard.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hata hivyo wakati huo wa kusubiria uzazi unabakia kuwa mgumu.

French

cependant, l'attente reste difficile.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huu mgumu haujamsaidia banda ambaye anayejiandaa kuchaguliwa tena mwaka ujao.

French

l'épreuve de force n'a pas aidé mme banda, dont le renouvellement du mandat dépendra des élections de l'année prochaine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau ungeli kuwa mkali, mwenye moyo mgumu, bila ya shaka wangeli kukimbia.

French

mais si tu étais rude, au cœur dur, ils se seraient enfuis de ton entourage.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi ilipo fika amri yetu tuliigeuza nchi juu chini, na tukawateremshia mvua ya changarawe za udongo mgumu ulio kamatana wa motoni,

French

et, lorsque vint notre ordre, nous renversâmes [la cité] de fond en comble, et fîmes pleuvoir sur elle en masse, des pierres d'argile succédant les unes aux autres,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, mkurupuko wa sasa wa covid-19 ni mbaya zaidi na ni mgumu kudhibiti kuliko mkurupuko wa sars.

French

l’actuelle épidémie de covid-19 est donc bien plus grave et difficile à contrôler que ne l’a été celle du sras.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watoto wa syria ni wahanga wasio na hatia wa vita hii na kutoa msisitizo kwa wakati mgumu wanaoupitia na ujaribu kusaidia kuwaepusha na mateso wanayoyapa kwa kadiri ya utakavyoweza.

French

la vidéo suivante, "dans le froid, les familles de réfugiés syriens bravent l'hiver", a été publiée par save the chidren uk pour signaler les besoins et collecter des dons pour les enfants des réfugiés syriens. les enfants syriens sont les innocentes victimes de cette guerre. attirer l'attention sur leur situation et essayer de soulager leurs souffrances, c'est le moins que l'on puisse faire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wala msiwe kama mwanamke anaye uzongoa uzi wake baada ya kwisha usokota ukawa mgumu. mnavifanya viapo vyenu kuwa ni njia ya kudanganyana baina yenu kwa kuwa ati taifa moja lina nguvu zaidi kuliko jengine?

French

et ne faites pas comme celle qui défaisait brin par brin sa quenouille après l'avoir solidement filée, en prenant vos serments comme un moyen pour vous tromper les uns les autres, du fait que (vous avez trouvé) une communauté plus forte et plus nombreuse que l'autre.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je! yule ambaye mwenyezi mungu amemfungulia kifua chake kwa uislamu, na akawa yuko kwenye nuru itokayo kwa mola wake mlezi (ni sawa na mwenye moyo mgumu?)

French

est-ce que celui dont allah ouvre la poitrine à l'islam et qui détient ainsi une lumière venant de son seigneur...

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, mwaka uliopita umekuwa mgumu kwa watu wa najeria walio ughaibuni: katika miezi michache iliyopita, mfululizo wa matukio yanayoionyesha naijeria katika mwanga wa utata ulizua majadiliano kwenye ulimwengu wa blogu.

French

cependant, l'année dernière a été particulièrement difficile pour la réputation du nigeria à l'étranger: au cours des derniers mois, une série d'événements présentant le pays sous une lumière douteuse ont alimenté les discussions sur la blogosphère.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

al jazeera iko kwenye wakati mgumu nchini misri kwa kile kinachoelezwa na wengi kuwa ni "upendeleo" wake katika kutangaza habari zake wakati na baada ya kuondolewa madarakani kwa rais wa zamani wa misri mohamed morsi mnamo julai 4.

French

al jazeera est sous le feu des critiques pour sa couverture très orientée des informations durant et après la destitution de l'ancien président morsi, le 4 juillet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama watotokatika video wanavyosema kwa kutumia maneno mengi: wanaweza kuwa na wakati mgumu kukabiliana na mengi ya maoni nba mitazamo ambayo watoto wengine wanaitoa, lakini kuwa na sehemu ya kujadili masuala katika njia salama kunawasaidia kuelewa ulimwengu wanamoishi huku wakiwa na uwezekano wa kukutana, kujifunza na kushiriki na watoto wenzao pamoja na vijana na hata kubadili hiyo mitazamo.

French

comme les enfants l'expriment en détail dans la vidéo, il est possible qu'ils aient du mal à appréhender une grande partie des opinions et perceptions exprimées par les autres enfants, mais la possibilité de débattre des problèmes, dans un environnement sûr et tranquille, les aide à comprendre le monde dans lequel ils vivent et leur permet d'interagir, d'apprendre et d'échanger avec d'autres enfants et adolescents, voire de modifier leur perception des choses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,997,536,888 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK