Ask Google

Results for udhaifu translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

Ni dalili za udhaifu.

French

Un signe de faiblesse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Udhaifu wa kiutendaji wa Polisi:

French

Le manque d'efficacité de la police

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Udhaifu wa Watawala wa Afrika unajionesha Mali?

French

Qu'ont fait les pays africains pour le Mali ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.

French

S`il faut se glorifier, c`est de ma faiblesse que je me glorifierai!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Sasa Mwenyezi Mungu amekupunguzieni, na anajua kuwa upo udhaifu kwenu.

French

Maintenant, Allah a allégé votre tâche, sachant qu'il y a de la faiblesse en vous.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Shambulio la Westgate ni dalili ya hivi karibuni ya udhaifu wa kikundi hicho.

French

L'attaque de Westgate est le dernier en date des signes de faiblesse du mouvement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hakuwa na uwezo wakuzungumza Kikorea na hakujua chochote juu ya udhaifu wa kiakili wa mumewe.

French

Elle ne parlait pas coréen et ignorait tout de son mari et de sa santé mentale précaire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kulingana na mahali, waandishi wa habari wanapata vitisho kutoka kwa makundi ya uhalifu au udhaifu wa kitaasisi.

French

Selon les lieux, les journalistes sont exposés à la menace de groupes criminels ou à la fragilité des institutions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Serikali ya Ethiopia inaendelea kuonyesha udhaifu na hofu wakati waandishi wa aina ya #ReeyotAlemu wanapowasha taa kuimulika.

French

MT @LisaMisol: La journaliste éthiopienne #ReeyotAlemu à son 1000e jour en prison. Le gouvernement EPRDF d'Ethiopie continue à montrer sa faiblesse et sa paranoïa puisqu'une journaliste comme Reeyot Alemu lui fait une peur bleue.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Basi, nitajivunia juu ya mtu wa namna hiyo, na si juu yangu mimi binafsi, isipokuwa tu juu ya udhaifu wangu.

French

Je me glorifierai d`un tel homme, mais de moi-même je ne me glorifierai pas, sinon de mes infirmités.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili.

French

Nous avons commandé à l'homme [la bienfaisance envers] ses père et mère; sa mère l'a porté [subissant pour lui] peine sur peine: son sevrage a lieu à deux ans.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kabila anailaumu rushwa na kuutupa mpira kwenye utawala wa Mobutu na udhaifu wa maofisa wake yeye mwenyewe, badala ya kukubali wajibu wa matatizo ya serikali yake.

French

Le président Kabila attribue la corruption à l'héritage de Mobutu et à l'incompétence de ses fonctionnaires, au lieu de se sentir responsable des difficultés de son gouvernement :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika masunagogi yao akihubiri Habari Njema ya Ufalme wa Mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.

French

Jésus parcourait toutes les villes et les villages, enseignant dans les synagogues, prêchant la bonne nouvelle du royaume, et guérissant toute maladie et toute infirmité.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati futuzo la uchumi lilipopasuka mwanzoni mwa miaka ya 90 udhaifu uliopo kwenye mfumo wa Kijapani ulionekana na tangu hapo wataalamu wengi wanasema kuwa nchi haijapona kutoka kwenye hali mbaya ya uchumi.

French

L'explosion de la bulle économique des années 1990 a mis en lumière les faiblesses du système japonais et de nombreux experts déclarent que, depuis, le pays ne s'est jamais complètement remis de la récession.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na udhaifu kisha akajaalia nguvu baada ya unyonge, kisha akajaalia baada ya nguvu unyonge tena na ukongwe. Anaumba atakavyo.

French

Allah, c'est Lui qui vous a créés faibles; puis après la faiblesse, Il vous donne la force; puis après la force, Il vous réduit à la faiblesse et à la vieillesse: Il crée ce qu'Il veut et c'est Lui l'Omniscient, l'Omnipotent.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie: "Yeye mwenyewe ameondoa udhaifu wetu, ameyachukua magonjwa yetu."

French

afin que s`accomplît ce qui avait été annoncé par Ésaïe, le prophète: Il a pris nos infirmités, et il s`est chargé de nos maladies.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Maana hata kama alisulubiwa kwa sababu ya udhaifu, lakini sasa anaishi kwa uwezo wa Mungu. Sisi pia tu dhaifu kwa kuungana naye lakini tutaishi naye kwa uwezo wa Mungu kwa ajili yenu.

French

Car il a été crucifié à cause de sa faiblesse, mais il vit par la puissance de Dieu; nous aussi, nous sommes faibles en lui, mais nous vivrons avec lui par la puissance de Dieu pour agir envers vous.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hali kadhalika, naye Roho anatusaidia katika udhaifu wetu. Maana hatujui inavyotupasa kuomba; lakini Roho mwenyewe anatuombea kwa Mungu kwa mlio wa huzuni usioelezeka.

French

De même aussi l`Esprit nous aide dans notre faiblesse, car nous ne savons pas ce qu`il nous convient de demander dans nos prières. Mais l`Esprit lui-même intercède par des soupirs inexprimables;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake.

French

Et dis: «Louange à Allah qui ne S'est jamais attribué d'enfant, qui n'a point d'associé en la royauté et qui n'a jamais eu de protecteur de l'humiliation».

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina busara zaidi kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa Mungu, kina nguvu zaidi kuliko nguvu za binadamu.

French

Car la folie de Dieu est plus sage que les hommes, et la faiblesse de Dieu est plus forte que les hommes.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK