From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
bwana yesu kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.
sondern ziehet an den herrn jesus christus und wartet des leibes, doch also, daß er nicht geil werde.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hata maumbile yenyewe huonyesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe;
oder lehrt euch auch nicht die natur, daß es einem manne eine unehre ist, so er das haar lang wachsen läßt,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hiyo, mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya. hata wanawake wanabadili matumizi yanayopatana na maumbile.
darum hat sie auch gott dahingegeben in schändliche lüste: denn ihre weiber haben verwandelt den natürlichen brauch in den unnatürlichen;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hivyo basi, ndugu zangu, tunalo jukumu, lakini si la kuishi kufuatana na maumbile ya kibinadamu.
so sind wir nun, liebe brüder, schuldner nicht dem fleisch, daß wir nach dem fleisch leben.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa kristo watataka kuolewa tena,
der jungen witwen aber entschlage dich; denn wenn sie geil geworden sind wider christum, so wollen sie freien
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nao wanaume hali kadhalika, wanaacha kufuata matumizi ya maumbile ya mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. wanaume wanafanyiana mambo ya aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa vitendo vyao viovu.
desgleichen auch die männer haben verlassen den natürlichen brauch des weibes und sind aneinander erhitzt in ihren lüsten und haben mann mit mann schande getrieben und den lohn ihres irrtums (wie es denn sein sollte) an sich selbst empfangen.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa maana, kama mkiishi kufuatana na matakwa ya maumbile ya kibinadamu, hakika mtakufa. lakini, kama kwa njia ya roho mnayaua matendo yenu maovu, basi, mtaishi.
denn wo ihr nach dem fleisch lebet, so werdet ihr sterben müssen; wo ihr aber durch den geist des fleisches geschäfte tötet, so werdet ihr leben.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kumbukeni pia sodoma na gomora, na miji ya kandokando yake; wenyeji wake walifanya kama wale malaika; walifanya uzinzi na mambo yaliyo kinyume cha maumbile, wakapewa hukumu ya moto wa milele, iwe onyo kwa watu wote.
wie auch sodom und gomorra und die umliegenden städte, die gleicherweise wie diese unzucht getrieben haben und nach einem andern fleisch gegangen sind, zum beispiel gesetzt sind und leiden des ewigen feuers pein.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: