From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kulikuwa na kiongozi mmoja myahudi, wa kikundi cha mafarisayo, jina lake nikodemo.
es war aber ein mensch unter den pharisäern mit namen nikodemus, ein oberster unter den juden.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, myahudi ana nini zaidi kuliko watu wengine? au kutahiriwa kuna faida gani?
was haben denn die juden für vorteil, oder was nützt die beschneidung?
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ubishi ulitokea kati ya baadhi ya wanafunzi wa yohane na myahudi mmoja kuhusu desturi za kutawadha.
da erhob sich eine frage unter den jüngern des johannes mit den juden über die reinigung.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na wewe, je? wewe mwenyewe unajiita myahudi; unaitumainia sheria na kujivunia kuwa wa mungu;
siehe aber zu: du heißest ein jude und verlässest dich aufs gesetz und rühmest dich gottes
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ndiyo kusema, si kila anayeonekana kwa nje kuwa myahudi ni myahudi wa kweli, wala mtu hawi myahudi wa kweli ati kwa kuwa ametahiriwa kimwili.
denn das ist nicht ein jude, der auswendig ein jude ist, auch ist das nicht eine beschneidung, die auswendig am fleisch geschieht;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kila mtu huko efeso, myahudi na asiye myahudi, alisikia juu ya tukio hilo. wote waliingiwa na hofu, wakalitukuza jina la bwana yesu.
das aber ward kund allen, die zu ephesus wohnten, sowohl juden als griechen; und es fiel eine furcht über sie alle, und der name des herrn jesus ward hochgelobt.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya siku chache, felisi alifika pamoja na mkewe drusila ambaye alikuwa myahudi. aliamuru paulo aletwe, akamsikiliza akiongea juu ya kumwamini yesu kristo.
nach etlichen tagen aber kam felix mit seinem weibe drusilla, die eine jüdin war, und forderte paulus und hörte ihn von dem glauben an christus.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hivyo, hakuna tena tofauti kati ya myahudi na mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. nyote ni kitu kimoja katika kuungana na kristo yesu.
hier ist kein jude noch grieche, hier ist kein knecht noch freier, hier ist kein mann noch weib; denn ihr seid allzumal einer in christo jesu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
paulo akajibu, "mimi ni myahudi, mzaliwa wa tarso katika kilikia; mimi ni raia wa mji maarufu. tafadhali, niruhusu niongee na watu.
paulus aber sprach: ich bin ein jüdischer mann von tarsus, ein bürger einer namhaften stadt in zilizien. ich bitte dich, erlaube mir, zu reden zu dem volk.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya mgiriki na myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.
da nicht ist grieche, jude, beschnittener, unbeschnittener, ungrieche, scythe, knecht, freier, sondern alles und in allen christus.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipokuwa akisema hayo, ofisa mmoja myahudi alifika, akamwinamia na kusema, "binti yangu amekufa sasa hivi. lakini, tafadhali njoo umwekee mkono wako naye ataishi."
da er solches mit ihnen redete, siehe, da kam der obersten einer und fiel vor ihm nieder und sprach: herr, meine tochter ist jetzt gestorben; aber komm und lege deine hand auf sie, so wird sie lebendig.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting