Results for vibaya translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

theluji nzito yaharibu vibaya shule huko gilan.

German

eine schule in gilan stürzte unter den schneemassen ein.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

si vibaya kwenu kuitafuta fadhila ya mola wenu mlezi.

German

es ist für euch kein vergehen, daß ihr nach einer huld von eurem herrn strebt.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama ukimtaka yule uliye mtenga, basi si vibaya kwako.

German

und wenn du doch eine von denen haben möchtest, die du abgewiesen hast, dann ist das für dich kein vergehen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana atakabidhiwa kwa watu wa mataifa nao watamtendea vibaya na kumtemea mate.

German

denn er wird überantwortet werden den heiden; und er wird verspottet und geschmähet und verspeiet werden,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. basi, kwa mapendo sheria yote hutimizwa.

German

denn liebe tut dem nächsten nichts böses. so ist nun die liebe des gesetzes erfüllung.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

si vibaya kwenu kuingia nyumba zisio kaliwa ambazo ndani yake yamo manufaa yenu.

German

es ist für euch kein vergehen, unbewohnte häuser zu betreten, in denen sich eine nutznießung für euch befindet.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama wote wawili wakitaka kumwachisha ziwa kwa kuridhiana na kushauriana, basi si vibaya kwao.

German

und sollten beide sich zum abstillen im gegenseitigen einvernehmen und nach beratung entschließen, dann ist es für beide keine verfehlung.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mwanamke akichelea kutupwa au kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu.

German

sollte eine frau von ihrem ehemann auflehnung oder vernachlässigung fürchten, dann ist es für beide keine verfehlung, wenn sie sich durch eine vereinbarung aussöhnen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala msikusudie kutoa vilivyo vibaya, hali nyinyi wenyewe msinge vipokea ila ingekuwa mmefumba macho.

German

und sucht nicht das schlechte aus, um davon zu spenden, wo ihr es nicht nehmen würdet, es sei denn, ihr würdet ein auge zudrücken.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala si vibaya kwenu ikiwa mnaona udhia kwa sababu ya mvua au mkawa wagonjwa, mkaziweka silaha zenu.

German

es ist keine sünde für euch, wenn ihr unter regen zu leiden habt oder krank seid, eure waffen abzulegen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

idadi kubwa ya majengo ya makumbusho yameharibiwa vibaya ikiwa ni matokeo ya mapigano yanayoendelea kwa kutumia silaha nzito.

German

eine große anzahl an museen leidet zudem unter einer beschädigten infrastruktur, was auf den bewaffneten konflikt zurückgeht.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hizi ni nyakati tatu za faragha kwenu. si vibaya kwenu wala kwao baada ya nyakati hizi, kuzungukiana nyinyi kwa nyinyi.

German

danach ist es für euch und für sie keine sünde, wenn die einen von euch sich um die anderen kümmern.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yule bwana akamtuma tena mtumishi mwingine; lakini wao wakampiga huyo vilevile na kumtendea vibaya, wakamrudisha mikono mitupu.

German

und über das sandte er noch einen anderen knecht; sie aber stäupten den auch und höhnten ihn und ließen ihn leer von sich.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ila ikiwa ni biashara ya mkono-kwa-mkono baina yenu, basi hapo si vibaya kwenu msipo iandika.

German

ausgenommen davon - wenn es sich um einen gegenwärtigen handel dreht, den ihr untereinander zum abschluß bringt, dann trifft euch keine verfehlung, wenn ihr ihn (diesen handel) nicht niederschreibt.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipopelekwa mahakamani mnamo tarehe 6 desemba, soudani alikana mashtaka yaliyotolewa dhidi yake na kueleza kwamba aliteswa vibaya sana wakati alipokuwa ametupwa kizuizini kinyume cha sheria.

German

bei seinem erscheinen vor gericht am 6. dezember wies er die gegen ihn eingereichte anklage zurück und erklärte, dass er während seiner außergerichtlichen haft aggressive gefoltert worden sei.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kocha msaidizi na ofisa wa habari wa timu waliuwawa na mlinda mlango, kodjovi "dodji" obilale, alijeruhiwa vibaya sana.

German

der co-trainer und medien verbindungsmann wurden getötet und torhüter kodjovi "dodji" obilale schwer verletzt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na hapo palikuwa na mwanamke mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa miaka kumi na minane kutokana na pepo aliyekuwa amempagaa. kwa sababu hiyo, mwili wake ulikuwa umepindika vibaya hata asiweze kusimama wima.

German

und siehe, ein weib war da, das hatte einen geist der krankheit achtzehn jahre; und sie war krumm und konnte nicht wohl aufsehen.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ila ikiwa ni biashara ya mkono-kwa-mkono baina yenu, basi hapo si vibaya kwenu msipo iandika. lakini mnapo uziana wekeni mashahidi.

German

es sei denn, es handelt sich um eine an ort und stelle vorhandene ware, die ihr untereinander aushändigt, dann ist es für euch kein vergehen, wenn ihr sie nicht aufschreibt.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

saulo naye alikiona kitendo hicho cha kumwua stefano kuwa sawa. siku hiyo kanisa la yerusalemu lilianza kuteswa vibaya. waumini wote, isipokuwa tu wale mitume, walilazimika kutawanyika katika sehemu za mashambani za yudea na samaria.

German

saulus aber hatte wohlgefallen an seinem tode. es erhob sich aber zu der zeit eine große verfolgung über die gemeinde zu jerusalem; und sie zerstreuten sich alle in die länder judäa und samarien, außer den aposteln.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile sheria namba 498-a ya hukumu, sheria za kulipana mirathi, sheria za migogoro ya kifamilia. je, hata na sheria hii itatumiwa vibaya na baadhi ya wake?

German

wird dieses gesetz, gleich artikel 498-a des strafgesetzbuches, den unterhaltsbestimmungen und gewaltschutzgesetzen, von einigen ehefrauen missbraucht werden?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,944,546,234 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK