Results for zile translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

na musa ilipo mtulia ghadhabu aliziokota zile mbao.

German

und als der zorn von musa sich legte, nahm er die tafeln.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mtajeni mwenyezi mungu katika zile siku zinazo hisabiwa.

German

und gedenket gottes in einer bestimmten anzahl von tagen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye akazitupa zile fedha hekaluni, akatoka nje, akaenda akajinyonga.

German

sie sprachen: was geht uns das an? da siehe du zu! und er warf die silberlinge in den tempel, hob sich davon, ging hin und erhängte sich selbst.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.

German

entsinnt euch meiner gaben, die ich euch gewährt habe, und daß ich euch den menschen gegenüber auszeichnete.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, baada ya kuzileta zile mashua ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.

German

und sie führten die schiffe zu lande und verließen alles und folgten ihm nach.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku zile, tangazo rasmi lilitolewa na kaisari augusto kuwataka watu wote chini ya utawala wake wajiandikishe.

German

es begab sich aber zu der zeit, daß ein gebot von dem kaiser augustus ausging, daß alle welt geschätzt würde.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mkakaa katika maskani zile zile za walio zidhulumu nafsi zao. na ikakudhihirikieni jinsi tulivyo watendea.

German

ihr habt noch in den wohnorten derer gewohnt, die sich selbst unrecht zugefügt haben, und es ist euch klargeworden, wie wir an ihnen gehandelt haben.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi wana wa israili! kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.

German

o ihr kinder israels, gedenket meiner gnade, mit der ich euch begnadet habe, und daß ich euch vor den weltenbewohnern bevorzugt habe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na zile zisio kufa wakati wa kulala kwake, huzishika zilizo hukumiwa kufa, na huzirudisha nyengine mpaka ufike wakati uliowekwa.

German

er hält die eine, für die er den tod beschlossen hat, zurück, und er läßt die andere auf eine bestimmte frist laufen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naam, hata watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, nitawamiminia roho wangu, siku zile, nao watautangaza ujumbe wangu.

German

und auf meine knechte und auf meine mägde will ich in denselben tagen von meinem geist ausgießen, und sie sollen weissagen.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maktaba za umma na zile za jamii katika nchi zinazoendelea, zenye uchumi wa mpito, zinakaribishwa kuwasilisha maombi ufadhili wa mradi wa kuboresha maktaba za umma unaoendeshwa na shirika la eifl.

German

Öffentliche und gemeindebibliotheken in entwicklungs- oder schwellenländern sind eingeladen sich für das eifl's public library innovation programme (eifl-plip) (eifl-innovationsstipendium für öffentliche bibliotheken) zu bewerben.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiwa ameumizwa na kile waasi wa urusi na 'waendesha propaganda' wa ukraine walichokirudia mara kwa mara hisia zile zile (kwamba walikosoa serza ya urusi kwa ukraine), konstantin rykov wa chama tawala cha siasa urusi alikuwa na haya ya kusema:

German

darüber empört, dass russische liberale und ukrainische "propagandisten" die immer gleichen ansichten wiederholen (das heißt, sie kritisieren russlands politik in der ukraine), hatte konstantin rykow von russlands regierungspartei folgendes zu sagen:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,792,750,725 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK