From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
yesu akapewa habari kwamba mama na ndugu zake walikuwa nje, wanataka kumwona.
ויגד לו לאמר אמך ואחיך עמדים בחוץ והם חפצים לראותך׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini mama huyo akapewa mabawa mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, mpaka mahali, pake jangwani ambapo angehifadhiwa salama kwa muda wa miaka mitatu na nusu.
ויתנו לאשה שתי כנפי הנשר הגדול לעוף המדברה אל מקומה אשר תכלכל שם מועד מועדים וחצי מפני הנחש׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nami nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mwingine hapo, mwekundu. mpanda farasi wake alikabidhiwa jukumu la kuondoa amani duniani, watu wauane, akapewa upanga mkubwa.
ויצא סוס שני והוא אדם ולרכב עליו נתן לשאת את השלום מן הארץ למען יהרגו איש את אחיו ותנתן לו חרב גדולה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi nikatazama, na kumbe palikuwa na farasi mmoja mweupe hapo. na mpanda farasi wake alikuwa na upinde, akapewa na taji. basi, akatoka kama mshindi aendelee kushinda.
ואביט והנה סוס לבן והרכב עליו קשת בידו ותנתן לו עטרה ויצא מנצח ולמען ינצח׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
malaika mwingine akafika, akiwa anachukua chetezo cha dhahabu, akasimama mbele ya madhabahu ya kufukizia ubani. naye akapewa ubani mwingi autoe sadaka pamoja na sala za watu wote wa mungu, juu ya madhabahu ya dhahabu iliyo mbele ya kiti cha enzi.
ויבא מלאך אחר ויגש אל המזבח ומחתת זהב בידו ותנתן לו קטרת הרבה לתתה עם תפלות כל הקדשים על מזבח הזהב אשר לפני הכסא׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: