Results for sikukuu translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

sikukuu

Hebrew

חג

Last Update: 2014-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya vibanda ya wayahudi ilikuwa imekaribia.

Hebrew

ויקרב חג היהודים הוא חג הסכות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya wayahudi iitwayo pasaka ilikuwa imekaribia.

Hebrew

וימי הפסח חג היהודים קרבו לבוא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kila sikukuu ya pasaka, ilimlazimu pilato kuwafungulia mfungwa mmoja.

Hebrew

ועליו היה לפטר להם איש אחד בימי החג׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu hiyo ilipofikia katikati, yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.

Hebrew

ויהי בחצי ימי החג עלה ישוע אל המקדש וילמד׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo pasaka, ilikuwa inakaribia.

Hebrew

ויקרב חג המצות הנקרא פסח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya wayahudi, naye yesu akaenda yerusalemu.

Hebrew

אחר הדברים האלה היה חג ליהודים ויעל ישוע ירושלים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

huko yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. wakati huo ulikuwa wa baridi.

Hebrew

ויהי חג חנכת הבית בירושלים וסתיו היה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya wayahudi ya pasaka ilikuwa imekaribia; hivyo yesu akaenda yerusalemu.

Hebrew

ויקרבו ימי חג הפסח אשר ליהודים ויעל ישוע ירושלים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu alipokuwa yerusalemu kwa sikukuu ya pasaka, watu wengi walimwamini walipoona ishara alizozifanya.

Hebrew

ויהי בהיתו בירושלים בחג הפסח האמינו רבים בשמו כי ראו האתות אשר עשה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

ilikuwa kawaida wakati wa sikukuu ya pasaka mkuu wa mkoa kuwafungulia wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.

Hebrew

ומנהג ההגמון היה לפטר לעם בכל חג אסיר אחד את אשר יחפצו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wazazi wa yesu walikuwa na desturi ya kwenda yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya pasaka.

Hebrew

ועלו הוריו ירושלים שנה בשנה לחג הפסח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kulikuwa na wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokuwa wamefika yerusalemu kuabudu wakati wa sikukuu hiyo.

Hebrew

ובתוך העלים להשתחות בחג היו אנשים יונים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini wakaamua jambo hilo lisifanyike wakati wa sikukuu, kusije kukatokea ghasia kati ya watu.

Hebrew

ויאמרו אך לא בחג פן תהיה מהומה בעם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kila wakati wa sikukuu ya pasaka, pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka.

Hebrew

ובכל חג היה דרכו לפטר להם אסיר אחד את אשר יבקשו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa yesu alikuwa njiani kuja yerusalemu.

Hebrew

ויהי ממחרת כשמוע המון רב אשר באו לחג החג כי יבא ישוע ירושלים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

viongozi wa wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; wakauliza: "yuko wapi?"

Hebrew

והיהודים בקשהו בחג ויאמרו איה הוא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.

Hebrew

ויהי בהיותו בן שתים עשרה שנה ויעלו ירושלים כמשפט החג׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.

Hebrew

ויהי כאשר עלו אחיו לרגל ויעל גם הוא לא בגלוי כי אם כמסתתר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini walisema, "tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia."

Hebrew

ויאמרו אך לא בחג פן תהיה מהומה בעם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK