Ask Google

Results for akilini translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

Hamyatii akilini?

Italian

Non capite dunque?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Basi, je, hamtii akilini?

Italian

Non capite dunque?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Basi nyinyi hamtii akilini?

Italian

Non ragionate dunque?”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hakika katika hayo zimo ishara kwa watu wanao tia mambo akilini.

Italian

In ciò vi sono segni per coloro che capiscono.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na nyumba ya Akhera ni bora kwa wanao jikinga na maasi. Basi je, hamtii akilini?

Italian

La dimora ultima è la migliore per i timorati; ancora non lo capite?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.

Italian

Ecco che vi manifestiamo i segni, se potete comprenderli.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu ameharimisha kuiuwa, ila ikiwa kwa haki. Hayo amekuusieni ili myatie akilini.

Italian

Ecco quello che vi comanda, affinché comprendiate.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wapenzi wangu, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. Katika barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo haya.

Italian

Questa, o carissimi, è gia la seconda lettera che vi scrivo, e in tutte e due cerco di ridestare con ammonimenti la vostra sana intelligenza

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(Musa) akasema: Ndiye Mola Mlezi wa Mashariki na Magharibi na viliomo baina yao, ikiwa nyinyi mnatia akilini.

Italian

Disse [Mosè]: “[È] il Signore dell'Oriente e dell'Occidente, e di ciò che vi è frammezzo, se solo lo capiste”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"Hili ndilo agano nitakalofanya nao, katika siku zijazo, asema Bwana: Nitaweka sheria zangu mioyoni mwao, na kuziandika akilini mwao."

Italian

Questa è l'alleanza che io stipulerò con loro dopo quei giorni, dice il Signore: io porrò le mie leggi nei loro cuori e le imprimerò nella loro mente

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Na hili ndilo agano nitakalofanya na watu wa Israeli siku zijazo, asema Bwana: Nitaweka sheria zangu akilini mwao, na kuziandika mioyoni mwao. Mimi nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

Italian

E questa è l'alleanza che io stipulerò con la casa d'Israele dopo quei giorni, dice il Signore: porrò le mie leggi nella loro mente e le imprimerò nei loro cuori; sarò il loro Dio ed essi saranno il mio popolo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK