Ask Google

Results for alitangaza translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

Al Sisi vile vile alitangaza kwamba katiba ya Misri imesimamishwa na kwamba maandalizi yatafanywa kwa ajili ya uchaguzi wa Rais na Wabunge.

Italian

Inoltre, il generale Al Sisi ha annunciato che la Costituzione egiziana è stata sospesa e che si darà presto il via ai preparativi per le elezioni presidenziali e parlamentari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Majira ya saa10:55 jioni, @almonaseron alitangaza kuanza kwa maandamano, na alitwiti :

Italian

Alle 4:55, ora locale, @almonaseron ha annunciato l'inizio del sit-in e pubblicato su twitter :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pia, Al Sisi alitangaza kuwa, katiba ya Misri imesimamishwa kwa muda na kwamba matayarisho ya chaguzi za Rais na wabunge yanaendelea.

Italian

Inoltre, Al Sisi ha annunciato la sospensione della Costituzione egiziana e gli imminenti preparativi per entrambe le elezioni presidenziali e parlamentari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baada ya kuchaguliwa kwa mara nyingine mwezi Novemba 2011, Rais Paul Biya wa Cameroon alitangaza kwamba ndani ya muda mfupi, nchi yake ingeongoza kwa kuwa “eneo la ujenzi”.

Italian

Il Presidente del Camerun, Paul Biya , dopo la sua rielezione a novembre 2011, ha annunciato che il Paese ospiterà a breve "vasti cantieri per la costruzione di nuove infrastrutture".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Na Firauni alitangaza kwa watu wake, akisema: Enyi watu wangu! Kwani mimi sinao huu ufalme wa Misri, na hii mito inapita chini yangu?

Italian

Faraone arringò il suo popolo e disse: “O popol mio, forse non mi appartiene il regno dell'Egitto, con questi canali che scorrono ai miei piedi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

" “Mtangazaji habari wa zamani wa televisheni ya Misri na mwanaharakati Bothaina Kamel alitangaza kwenye ukurasa wake wa twita usiku wa Ijumaa saa za Cairo kwamba ana mipango ya kugombea urais kwenye duru inayofuata ya uchaguzi, na kumfanya awe mwanamke wa kwanza kutangaza nia ya kutaka kuingia kwenye ofisi kuu nchini Misri", Manar Ammar

Italian

Venerdì , in tarda serata, l'ex conduttrice televisiva e attivista egiziana Bothaina Kamel ha espresso via Twitter l'intenzione di candidarsi alle prossime elezioni presidenziali, diventando la prima donna nella storia dell'Egitto a correre per la carica di presidente.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Saa arobaini na nane kuelekea kwenye uchaguzi mkuu katika nchi ukianzia na upigaji kura wa kuchagua wabunge, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi, INEC, Prof. Attahiru Jega, alitangaza jana kwamba hakuwa kwenye shinikizo la kuchezea (kuchakachua) mchakato wa uchaguzi ili kumpa yeyote faida isiyo halali na kwamba hata shinikizo hilo linatokea sehemu yoyote, hatalazimika kukubaliana nazo.

Italian

A quarantotto ore dalle elezioni generali che si terranno nel Paese, a partire da quelle per l'Assemblea Nazionale, il Presidente della Commissione Elettorale Nazionale Indipendente (INEC). Prof. Attahiru Jega, ha dichiarato ieri di non aver ricevuto pressioni con intenti manipolativi sul processo elettorale per favorire questa o quella compagine, e anche qualora ne ricevesse, non farebbe comunque favori a nessuno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati waziri wa Kazi aliyemaliza muda wake, Charbel Nahhas Januari 2012 alitangaza kuwa angeangalia uwezekano wa kufutilia mbali mfumo wa kafala,mwaka 2013, waziri wa kazi, Salim Jreissati alishindwa kufanya hivyo au kuweka sheria ambayo ingewalinda zaidi ya wafanyakazi wa ndani wanaokadiriwa kufikia 200,000 nchini humo.

Italian

Mentre il Ministro del Lavoro uscente, Charbel Nahhas, annunciò nel Gennaio 2012 che avrebbe provveduto ad eliminare il sistema Kafala, nel 2013 il Ministro del Lavoro, Salim Jreissati, ha invece mancato all'appuntamento, né ha promosso la legiferazione a protezione degli stimati 200,000 lavoratori domestici immigrati nel paese.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK