Ask Google

Results for madiba translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

Buriani, mpendwa Madiba. #Mandela

Italian

Addio, caro Madiba. #Mandela

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nasikitika ajabu kwa habari ya kufariki kwa Madiba.

Italian

Mi sento veramente molto triste per la notizia della scomparsa di Madiba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Madiba alisema katika safari yake ya mwisho kabisa ya kimataifa kule Landani, Uingereza, mwezi Juni 2008:

Italian

Nel corso della sua ultima visita internazionale a Londra, nel giugno del 2008, Madiba ha detto:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Jumapili hii Julai 18 2010, Rais huyu wa Zamani atatimiza miaka 92. Kwa miaka 16 iliyopita, raia wa Afrika ya Kusini wamekuwa wakisherehekea siku kuu hii ya kuzaliwa Madiba kwa shauku na hamasa motomoto.

Italian

Oggi, domenica 18 luglio 2010, l'ex presidente sufricano compie 92 anni, e negli ultimi 16 anni i connazionali hanno celebrato il compleanno di Madiba sempre con grande passione ed entusiasmo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Uamuzi ulifikiwa kwamba kusingekuwa na namna nyingine iliyo bora zaidi ya kusherehekea siku ya kuzaliwa Madiba kila mwaka zaidi ya kuwa na siku ambayo itatengwa maalumu kumkumbuka kwa kazi aliyofanya maishani mwake na kwa shughuli za asasi yake ya hisani na kuhakikisha kwamba urithi aliotuachia unaendelea daima.

Italian

Avevamo deciso che non poteva esserci nulla di più adatto che celebrare ogni anno il compleanno di Madiba con una giornata dedicata all'attività che ne ha caratterizzato la vita, tramite le sue organizzazioni di beneficienza, e assicurare così durata perenne a quanto aveva fatto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba Madiba (kama ambavyo wengi wanapenda kumwita huko Afrika ya Kusini) alitumia miaka 67 ya maisha yake katika kupiga vita ubaguzi wa rangi na umaskini.

Italian

Quel che tanti invece non sanno è che Madiba (nomignolo con cui viene affettuosamente chiamato nel Paese) ha lottato per 67 anni contro razzismo e povertà.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK