Results for kuzuia translation from Swahili to Portuguese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

meksiko: mtaalamu wa kuzuia utekaji nyara atekwa

Portuguese

méxico: perito em anti-seqüestros foi sequestrado

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi,

Portuguese

tacanho, transgressor, pecador,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

peru: kampeni ya kuzuia kufungwa kwa maktaba ya amazon

Portuguese

peru: campanha para impedir o fechamento de biblioteca sobre a amazônia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

imekuwa ni ujanja salama kuzuia tovuti “haribifu”.

Portuguese

este tem se tornado o truque mais seguro para bloquear websites “prejudiciais”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au akitaka kunirehemu, je, wao wanaweza kuzuia rehema yake?

Portuguese

ou então, se ele quisessefavorecer-me com alguma graça, poderiam eles privar-me dela?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

brazili: ulimwengu wa blogu waunga mkono sheria ya kuzuia ufisadi

Portuguese

brasil: blogosfera pede aprovação do projeto ficha limpa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenyezi mungu akasema: nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha?

Portuguese

perguntou-lhe (deus): que foi que te impediu de prostrar-te, embora to tivéssemos ordenado?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

na mwenyezi mungu anapo watakia watu adhabu hakuna cha kuzuia wala hawana mlinzi yeyote badala yake.

Portuguese

e quando deus quer castigar umpovo, ninguém pode impedi-lo e não tem, em vez d'ele, protetor algum.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

kuuchunga mtandao hakuishii tu kuzuia upatikanaji wa taarifa, bali pia hudhoofisha mshikamano wa watumiaji wa intaneti katika mtandao.

Portuguese

a censura da web não impossibilita apenas o acesso à informação, mas também enfraquece o capacidade dos usuários de formar redes de cooperação.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(musa) akasema: ewe harun! ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea,

Portuguese

disse (moisés): Ó aarão, que te impediu de fazê0los voltar atrás, quando viste que se extraviavam?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

lakini kuratibu mtandao ili kuzuia picha za ngono na vitendo vingine visivyo na maadili huamsha lawama chache sana na za chini chini.

Portuguese

por outro lado, regular a web para impedir o avanço da pornografia e outros atos imorais de alguma forma gera protestos mais tímidos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa katibu wa afya wa angola, serikali inajitayarisha kuwafahamisha wananchi juu ya mpango uliowekwa ili kuzuia maambukizi ya virusi hivi vyenye nguvu.

Portuguese

de acordo com o ministro da saúde angolano, o governo prepara-se para alertar a população sobre os meios a utilizar de forma a prevenir a infecção deste vírus poderoso.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenyezi mungu akamwambia: ewe iblisi! kipi kilicho kuzuia kumt'ii yule niliye muumba kwa mikono yangu?

Portuguese

(deus lhe) perguntou: Ó lúcifer, o que te impede de te prostrares ante o que criei com as minhas mãos?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

rasimu ya sheria hiyo bado haijakamilika lakini inategemewa kuwa serikali itafuatilia hatua hii kwa makini hasa baada ya kukaribia kushindwa kuzuia upakiaji holela kwenye simu za viganjani na kwenye intaneti wa wa picha za uchi za wanawake waliokuwa wakioga hekaluni zilizopigwa kinyume cha sheria .

Portuguese

a proposta de regulamentação ainda não tem uma versão final, mas espera-se que o governo trabalhe para sua aprovação, especialmente depois de, recentemente, ter se mostrado quase incapaz de evitar o upload na internet e em celulares de um filme ilegal exibindo mulheres tomando banho em um monastério.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kweli, masharti hayo yaonekana kuwa ya hekima katika namna ya ibada ya kujitakia wenyewe, unyenyekevu wa uongo na kuutendea mwili kwa ukali; lakini kwa kweli, haifai chochote kuzuia tamaa za mwili.

Portuguese

as quais têm, na verdade, alguma aparência de sabedoria em culto voluntário, humildade fingida, e severidade para com o corpo, mas não têm valor algum no combate contra a satisfação da carne.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokana na kuzuka tena kwa virusi vya ebola katika jamhuri ya kidemokrasi ya kongo, serikali ya angola imeamua kufunga mpaka kati ya nchi hizo mbili, katika jaribio la kuzuia kuingia kwa virusi hivyo hatari katika himaya ya taifa hilo., hivyo kusitisha mara moja uhamiaji wa kawaida unaoendelea kati ya lunda norte (jimbo lililoko kaskazini mashariki ya nchi) na jamhuri ya kidemokrasi ya kongo.

Portuguese

devido a um novo surto do vírus da ébola na república democrática do congo, o governo angolano viu-se obrigado a fechar parte da fronteira que partilha com o congo, a fim de impedir que o maléfico vírus se infiltre em território nacional. o movimento migratório constante entre a lunda norte (nordeste do país) e o congo foi sumariamente suspenso.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,497,155,249 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK