Results for zinaweza translation from Swahili to Portuguese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

picha zilizotafutwa na kuwekwa kwenye twita zinaweza kuleta mambo ya kushangaza.

Portuguese

uma simples busca por imagens publicadas no twitter pode trazer coisas impressionantes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

insha zinaweza kutumwa kwa lugha yoyote kwenye tovuti hai za global voices.

Portuguese

redações podem ser enviadas em qualquer idioma ativo ("atualizado regularmente") do global voices, inclusive em português.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

serikali zinaweza kuwapuuzia wakosoaji wenye kelele nyingi lakini pia zinaweza kupoteza umaarufu.

Portuguese

governantes podem ignorar os críticos mais barulhentos, mas com isso eles também perdem credibilidade.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni wazi mapambano haya hayafanywi na wale wenye pesa ambao, kwa sababu zisizoeleweka au la, wanalindwa na akaunti za benki ambazo zinaweza kuwafanya viumbe wa kawaida kupata wivu.

Portuguese

obviamente que esta luta não se coloca aos mais endinheirados que por motivos obscuros ou não, se encontram protegidos por contas bancárias de dar inveja ao comum dos mortais.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mpaka sasa sijapata kuhisi kukosa raha kwa kuishi kwenye maeneo ambayo nyumba yangu pekee ndiyo makazi ya mtu mweupe, niligundua usiku ule kwamba hafla zinazochangamshwa na pombe zinaweza kuleta matukio ya usumbufu, hata katika sehemu tunazojihisi vyema.

Portuguese

se até agora nunca tinha sentido desconforto por morar num local onde a minha casa é a única de “brancos”, nessa noite percebi que as “biricocas” podem desencadear episódios desconfortáveis mesmo em locais onde nos sentimos bem. escravo em madeira esculpido por luiz paulino da cunha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sheria ya awali haikuwa wazi sana lakini sasa muswada unaoitwa ‘muswada wa kupinga ushoga wa mwaka 2009’ ulioletwa na mbunge david bahati unaosema kwamba tendo lolote la ushoga ama tabia za kishoga zinaweza kuhukumiwa adhabu ya kifo ama kifungo cha jela.

Portuguese

o código anterior não era claro, mas agora o projeto, chamado de "projeto de lei anti-homossexualidade 2009″ apresentado pelo parlamentar david bahati declara qualquer ato ou tendência homossexual passível de pena de morte ou prisão.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hoja zinaweza kujengwa kwenye maeneo mengi kama vile mipango ya serikali kuwadhibiti watu, ufuatiliaji/udukuzi wa mitandao ya kijamii, haki ya kusahauliwa na hata hali ya kutokuwa na upendeleo. sababu kuu ni kwamba serikali, makampuni, na wadhibiti wana madhara makubwa sana kwa kile tunachoweza kufanya au kutokukifanya mtandaoni.

Portuguese

de programas de vigilância nacionais à censura de redes sociais, passando pelo direito a ser esquecido e neutralidade da rede, governos, empresas e reguladores têm um impacto profundo sobre o que se pode e não se pode fazer online.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,421,346,679 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK