Results for aliishi translation from Swahili to Russian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

loti aliishi miongoni mwa watu hao, na kwa siku nyingi moyo wake ulikuwa katika wasiwasi mkuu aliposikia matendo yao maovu.

Russian

(ибо сей праведник, живя между ними, ежедневно мучился в праведной душе, видя и слыша дела беззаконные) –

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa muda wa miaka miwili mizima paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu.

Russian

И жил Павел целых два года на своем иждивении и принимал всех, приходивших к нему,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na mungu. aliishi huko katika hema kama walivyoishi isaka na yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.

Russian

Верою обитал он на земле обетованной, как на чужой, и жил в шатрах с Исааком и Иаковом, сонаследниками того же обетования;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

paulo alifika derbe na lustra, ambako aliishi mfuasi mmoja aitwaye timotheo. mama yake ambaye pia alikuwa mfuasi, alikuwa myahudi; lakini baba yake alikuwa mgiriki.

Russian

Дошел он до Дервии и Листры. И вот, там был некоторый ученик, именем Тимофей, которого мать была Иудеянка уверовавшая, а отец Еллин,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alama ishara hiyo ya loveless ilitumiwa pia na sajenti alex ford, wa royal air force (raf), aliishi kwenye jimbo la hilmand nchini afghanistan kwa muda wa miezi sita mwaka 2011.

Russian

К хэштегу Энтони добавляет свои фото сержант королевских военно-воздушных сил aлекс Форд, который провел шесть месяцев в одной из провинций Афганистана Гильменде.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mnyama uliyemwona alikuwa hai hapo awali, lakini sasa amekufa. hata hivyo, karibu sana atapanda kutoka shimoni kuzimu, lakini ataangamizwa. wanaoishi duniani watashangaa; naam, watu wote ambao majina yao hayakupata kuandikwa katika kitabu cha uzima tangu mwanzo wa ulimwengu, watashangaa kumwona huyo mnyama ambaye hapo awali, aliishi, kisha akafa na sasa anatokea tena!

Russian

Зверь, которого ты видел, был, и нет его, и выйдет из бездны, и пойдет в погибель; и удивятся те из живущих на земле, имена которых не вписаны в книгу жизни от начала мира, видя, что зверь был, и нет его, и явится.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,713,991,026 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK