From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mikononi mwake alishika kitabu kidogo kimefunguliwa. aliweka mguu wake wa kulia juu ya bahari, na wa kushoto juu ya nchi kavu,
в руке у него была книжка раскрытая. И поставил он правую ногу свою на море, а левую на землю,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanamke huyo alikuwa amevaa vazi la rangi ya zambarau na nyekundu; alikuwa amejipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu. mkononi mwake alishika kikombe cha dhahabu ambacho kilikuwa kimejaa machukizo na mambo machafu yanayoonyesha uzinzi wake.
И жена облечена была впорфиру и багряницу, украшена золотом, драгоценными камнями и жемчугом, и держала золотую чашу в руке своей, наполненную мерзостями и нечистотою блудодейства ее;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: