Ask Google

Results for chembechembe translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

Julius Malema ana chembechembe za dikteta.

Spanish

Julius Malema tiene los ingredientes de un dictador.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tuna chembechembe za kiislam katika mapinduzi, na hizi zinawafanya wawe na hofu sana.

Spanish

Tenemos elementos islamistas en la revolución, y eso les da miedo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa kuyataja kama mashambulizi ya kanisa yaweza maanisha chochote, ilhali twajua kuna chembechembe za msimamo mkali wa Al-shaabab nyuma ya mashambulio hay.

Spanish

Al llamarlos ataques a la iglesia, podría significar casi cualquier cosa, mientras que todos sabemos que hay algunos elementos radicales vinculados a Alshabab detrás de esto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakenya wanalipia gharama kubwa kwa miaka mingi ya ujinga wao. Sote tulijua kwamba kulikuwa na chembechembe za misimamo ya kigaidi nchini kwetu lakini tukachagua kukaa kimya.. lakini hatuwezi endelea na mbinu hii dhaifu ya mbuni.

Spanish

Los kenianos están pagando un alto precio debido a años de ignorancia ... todos sabíamos que había elementos radicales en nuestro país y se optó por dejarlos en silencio ..... pero ya no podemos continuar con esta estrategia de avestruz.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Cha Ni bora kupigia kelele kwa kosa hili la makusudi kwa sauti sana tuwezavyo dhidi ya chembechembe za kibaguzi za muswada huu bila kuwaongoza kuhusu udhaifu wa kiufundi unaojionyesha, kisheria, kikatiba na katika mitego (uwanja wa mabomu) ya haki za binadamu ambayo wanajiingiza wenyewe na muswada huu huku wakiwa wanatembea wakati wamelala usingizi.

Spanish

Mejor entonces nos conviene gritar lo más fuerte posible todos los elementos discriminatorios de esta ley sin guiarlos en el campo minado técnico, legal, constitucional, y derechos humano en el caminan a ciegas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Barua hizo zilitumwa na chama cha PSDB jimboni Minas Gerais wakisema kwamba filamu hiyo ilikuwa na chembechembe za “ushabiki wa kisiasa” na haikuwa ikieleza uhalisi wa mambo, pamoja na kuhoji maadili ya kazi yangu wakati wa kutayarisha filamu hiyo.

Spanish

Las cartas fueron enviadas por el PSDB de Minas Gerais. El PSDB dice que mi película tenía carácter "político-partidario" y no representaba la realidad en el estado, además de cuestionar la ética de mi conducta durante la producción de la película.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK