Ask Google

Results for unaoendelea translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

Wazi, mapinduzi haya ya kijeshi ni matokeo ya mgogoro wa kisiasa unaoendelea.

Spanish

Claramente, este golpe es el resultado de la crisis política en curso.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ninaguswa sana na taarifa za uvunjifu wa makusudi unaoendelea wa haki za wenyeji wa kusini magharibi mwa Ethiopia.

Spanish

Estoy muy alarmado (a) por las informaciones de graves abusos, deliberados y continuados contra los pueblos indígenas en el Sudeste de Etiopía.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wanafunzi wa mojawapo ya shule za msingi jijini Dar es Salaam, wakiandamana kuishinikiza serikali kutatua mgomo wa walimu unaoendelea.

Spanish

Estudiantes de una escuela primaria en Dar es Salaam reclaman al gobierno que colabore para poner fin a la huelga docente.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nafasi ya wanawake katika upinzani dhidi ya serikali unaoendelea nchini Misri imenasa macho ya wanablogu na raia wanaoeneza habari kwenye tovuti za mitandao ya kijamii.

Spanish

El papel de las mujeres en la revuelta en marcha contra el gobierno egipcio ha capturado la atención de blogueros y ciudadanos que difunden la información en las redes sociales.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Menkhaus aliendelea kusihi kwamba karata hii ya hivi karibuni iliyochezwa na kikundi hicho ilikuwa ni jaribio la kutengeneza upya vigezo na masharti ya mgogoro unaoendelea Somalia:

Spanish

Menkhaus expuso que esta última del grupo era un intento de transformar los términos del conflicto en Somalia:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Si tu kwamba chuo hicho ni taasisi ya taifa ya elimu ya juu, lakini ndio taasisi pekee ya umma kwa wenyeji ambayo inahusiana na aina yoyote ya utafiti unaoendelea katika nchi ya Bahama.

Spanish

No solamente la Universidad es la institución de educación superior del país, sino que la única institución pública indígena comprometida con cualquier forma de actual investigación bahamense.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baadhi ya wahamiaji wa Mynmar wa jamii ya budha wanaoishi nchini Malasia wiki chache zilizopita walishambuliwa tukio ambalo wengi wanaamini kuwa tukio hilo linahusiana na mvutano wa kimakabila na kidini unaoendelea nchini Mynmar.

Spanish

En semanas recientes, algunos migrantes budistas de Myanmar en Malasia han sido atacados y mucha gente cree que estos ataques están relacionados con las actuales tensiones étnicas y religiosas en Myanmar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kama sehemu ya ushirikiano wetu na Syria Deeply tuna mfululizo wa makala mbalimbali zinazogusa sauti za raia zilizopatikana katika machafuko sambamba na mitizamo ya waandishi kutoka ulimwenguni kote kuhusiana na mgogoro unaoendelea.

Spanish

Como parte de nuestra colaboración con Syria Deeply , estamos publicando una serie de artículos que capturan voces de civiles atrapados en el fuego cruzado, junto con perspectivas de escritores de todo el mundo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nafasi kwa ajili ya jamii ya Kimataifa kupaza sauti yake dhidi ya uvunjifu wa haki za binadamu na uharibifu wa mazingira unaosababishwa na unyang’anyi wa ardhi unaoendelea eneo la Gambella nchini Ethiopia.

Spanish

Espacio de la comunidad internacional dedicado a expresar su preocupación sobre los abusos de los derechos humanos yla destrucción ambiental que tiene lugar en la región etíope de Gambela, originada por el acaparamiento de tierras.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nina hakika, baadhi ya wanahabari wameweza hata kutengeneza faida kwa kutumia ulegevu wa mkazo kwa upande wa vyombo vya habari unaoendelea huko Mashariki ya Kongo, kwa minajili ya kusambaza propaganda zinazoipendelea Israeli.

Spanish

Algunos periodistas poco escrupulosos se han aprovechado de usar, con fines de propaganda pro israelí, la débil cobertura mediática de la guerra al este del Congo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwelekeo wa uchumi hauleti matumaini na vijana wanaorejea nchini mwao–baadhi yao wakiwa ni wanajeshi watoto wa zamani – katika uchumi unaoendelea kusababisha matatizo kwa serikali.

Spanish

El pronóstico económico sigue deprimente y el proceso de repatriación de jovenes - alguno de ellos ex niños soldados - a la economía continúa causando problemas de gobierno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mgogoro wa Syria, kama vile Mapinduzi mengine yaliyozikumba nchi za Kiarabu, zimesababisha kuongezeka kwa waandishi wa habari za kiraia wanaoripoti kutoka katika kwenye uwanja wa vita kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya majeshi yanayounga mkono serikali na yale ya waasi.

Spanish

El conflicto en Siria, así como otras revueltas de la Primavera Árabe, han aumentado el número de ciudadanos reporteros que informan desde el terreno sobre el transcurso de la guerra entre las fuerzas a favor del gobierno y quienes se encuentran en contra.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kutokana na kuzuka tena kwa virusi vya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, serikali ya Angola imeamua kufunga mpaka kati ya nchi hizo mbili, katika jaribio la kuzuia kuingia kwa virusi hivyo hatari katika himaya ya taifa hilo., Hivyo kusitisha mara moja uhamiaji wa kawaida unaoendelea kati ya Lunda Norte (jimbo lililoko kaskazini mashariki ya nchi) na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Spanish

Debido a una nueva epidemia del virus del ébola en la República Democrática del Congo, el gobierno angoleño ha decidido cerrar las fronteras que comparten ambos países, en un intento por evitar la entrada del virus mortal al territorio de la nación. Además, el movimiento migratorio constante entre Lunda Norte (una provincia al norte del país) y R.D. del Congo ha sido suspendido sumariamente.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

AlamaHabari (Hashtag) #eausecours (#H2OUT) inatumika hivi sasa kwneye mtandao wa twita na Facebook kutaniana kuhusiana na ukosefu wa maji safi unaoendelea, kama ilivyoonekana kwenye twiti hii :

Spanish

La etiqueta #eausecours (agua de emergencia] se está usando en Twitter y Facebook para burlarse de la actual falta de agua limpia, como lo retrata este indiscutible tuit:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Inavyoonekana, kufuatia hali inayoendelea katika nchi za kiarabu, ni intaneti na ongezeko la matumizi ya vyombo vya habari vya kiraia, ndivyo vinavyobeba lawama kwa kuchochea mapinduzi yanayoendelea katika nchi za Kiarabu na wala sio udikteta, udhalimu na uvunjifu wa haki za binadamu unaoendelea katika nchi hizo.

Spanish

Se culpa a Internet y al auge de los medios sociales, y no a las dictaduras, la injusticia y falta de derechos humanos de avivar la Primavera Árabe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Inakadiriwa kuwa, watoto wa Syria 4,355 wamekwishakuuawa (hadi tarehe 15/1/2013) katika mgogoro unaoendelea nchini Syria, hii ni kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni zilizotolewa na hifadhi ya Mapinduzi ya Syria ya Martyrs .

Spanish

Aproximadamente 4.355 niños sirios han sido asesinados (hasta la fecha 15/1/2013) durante los continuos conflictos en Siria, según el último informe publicado por la base de datos de los mártires de la revolución siria .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Chama kinachotawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzii (CCM), kwa miaka kadhaa iliyopita kimekuwa kikipata ushindani unaoendelea kukua siku kwa siku kutoka kwenye vyama vya Upinzani nchini humo.

Spanish

En los últimos dos años, el partido de gobierno de Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), ha enfrentado cada vez más la creciente influencia de los partidos de oposición.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mradi wa Vitabu wa Global Voices unalenga "kushirikisha vyombo vya habari vya kiraia kwa ajili ya siku za baadaye", kama ambavyo kichwa chetu kidogo kinavyosomeka, kwa kutumia hifadhi kubwa ya GV na uzalishaji wake unaoendelea katika lugha nyingi mbalimbali.

Spanish

Global Voices Books tiene como objetivo "compartir medios ciudadanos para el futuro", como se lee en nuestro subtítulo, basado en el enorme archivo de Global Voices y su actual producción políglota.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"Nani anayefuata kufilisiwa?" - bango katika maandamano ya leo ya wandishi wa habari mjini Skopje, akimaanisha jina la kificho kwa mpango unaoendelea ("Kufilisi"), ambapo mwandishi wa habari Kezarovski Tomislav alikamatwa pamoja na watu wengine mnamo Mei 28.

Spanish

"¿Quién es el próximo para la liquidación?", reza un cartel durante la protesta de periodistas de hoy en Skopje, en referencia al nombre código oficial de la operación ("Liquidación"), en la que el periodista Tomislav Kezarovski fue arrestado junto con otros el 28 de mayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK