De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
si trae usted carne o productos lácteos de fuera de la ue, puede estar importando enfermedades animales.
ukiingiza nyama ama bidhaa zozote zile ziambatanazo na maziwa ndani ya nchi za umojawa ulaya utakuwa kwamba unahatalisha wanyama na magonjwa hatali yayonayo wadhuru kutoka nje.
pero éstos maldicen lo que no conocen; y en lo que por instinto comprenden, se corrompen como animales irracionales
lakini watu hawa hutukana chochote wasichokielewa; mambo yaleyale wanayoyajua kwa silika kama vile wanyama wanayoyajua ndiyo yanayowaangamiza.
tanzania prohibió la exportación de animales salvajes después de 130 animales y pájaros, incluidas jirafas, salieron de contrabando del país.
tanzania imepiga marufuku kusafirishwa nje kwa wanyama pori baada ya takribani wanyama na ndege 130, ikiwa ni pamoja na twiga kusafirishwa nje ya nchi wakiwa hai.
alá ha creado a todos los animales de agua: de ellos unos se arrastran, otros caminan a dos patas, otros a cuatro.
na mwenyezi mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine.
las organizaciones comunales lograron convencer al conductor del camión de que era injusto e inconstitucional entregar comida para animales, mientras que a la comida dirigida a los seres humanos se le negaba el paso.
asasi za kiraia zilifaulu kumshawishi dereva wa lori hilo 'kuona' kwamba haikuwa haki na ilikuwa kinyume cha katiba kupeleka chakula kwa wanyama wakati ambapo chakula kilichokuwa kipelekwe kwa binadamu kilizuiwa; dereva huyu anaonekana kuelewa kwani alirudisha lori nyuma mpaka mahali kikosi cha jeshi kilipokuwa kimeweka kizuizi.
si la balanza se sigue inclinando y se prohíbe que los animales se unan a partidos políticos en el futuro, será más difícil que mis compañeros osos apoyen, ya no digamos unirse al sdp.
kama malipo yataendelea kuminywa zaidi na wanyama wakazuiwa kujiunga na vyama vya siasa huko mbeleni, itakuwa vigumu kwa jamaa zangu wengine kuunga mkono, wala si tu kuungana na chama cha sdp.
cualquier medicina del mercado tiene efectos secundarios y antes de que lleguen a la fase de ensayo clínico deben superar pruebas de seguridad, primero en animales, y después la vacuna se desactiva antes de administrarse, para que no pueda causar la enfermedad.
kila dawa iliyoko kwenye soko ina madhara yake na kabla ya kuifanya itimike kwenye tiba lazima kwanza uthibitike kuwa salama kwa wanyama kwanza na kisha inafanywa isifanye kazi kitaalam kabla ya kuanza kuitumia, ili isije ikasababisha ugonjw ahuo.
el último fin de semana, en la provincia de carabaya del departamento de puno soportó la peor nevada en una década, que dejó más de 1,200 familias afectadas, personas desaparecidas y provocó la muerte de animales que son el medio de vida de los habitantes de la zona.
mwishoni mwa wiki iliyopita, jimbo la carabaya, lililoko katika mkoa wa puno, lilishuhudia dhoruba kali ya theluji mbaya zaidi kuwahi kutoka katika kipindi cha muongo, ikiathiri familia zaidi ya 1,200 na kuwaacha watu wengi wasiojulikana walipo na kusababisha vifo vya wanyama ambao ni riziki ya watu wa eneo hilo.