De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
They did not run, they waited for the cops.
Hawakukimbia, waliwasubiri polisi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
We need a system where women can approach cops fearlessly.
Tunahitaji mfumo ambao utawafanya wanawake waweze kuongea na mapolisi bila ya woga.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
@Mwanikih: Cops making a bad situation worse by forcefully trying to evacuate the crowds.
@Mwanikih: Polisi wanafanya hali hii ambayo tayari ni mbaya kuwa mbaya zaidi kwa kutumia nguvu kuwatawanya watu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Aquino’s speech during the service also became the butt of online jokes for being more about himself than the fallen cops.
Hotuba ya Aquino wakati wa ibada hiyo iligeuka kuwa kituko mtandaoni kwa kusemekana kuzungumzia mambo yake binafsi kuliko marehemu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
A protester who was run over by a cop on a motorcycle???
Mwandamanaji ambaye alikanyagwa na kupitiwa juu yake na askari anayeendesha pikipiki??
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
A) mobs would go on vigilante sprees with no qualms & b) cops couldn't stop open shia killing, how this?
Kwanza, makundi yanaweza kushinikiza mabadiliko ya sheria hii bila ya kuwa na kizuizi chochote na hivyo bila ya kuwa na wasiwasi wowote. Pili, maafisa wa polisi hawawezi kuzuia mauaji ya wazi kabisa ya washia, inawezekanaje hali hii?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
Although the website where the video is posted appears very official it has a different URL (cop-15.org) from the actual United Nations website (cop15.dk).
Ingawa tovuti ambapo video imewekwa inaonekana kuwa rasmi, ina anuani tofauti ya URL(cop-15.org) tofauti na ile halisi ya Umoja wa Mataifa (cop15.dk).
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
I did not talk to the cop... did not look at him directly.
Mimi sikuzungumza na askari ... na sikumwangalia moja kwa moja.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
I went to a nearby police officer and told him that the cop kicked me for no reason; he just smiled and kept walking.
Nilikwenda kwa afisa wa polisi aliyekuwa karibu na kumwambia kwamba askari amenipiga teke bila sababu; polisi akatabasamu tu akiendelea kutembea.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
It would ultimately take a further 2 years and a lot of political fallout before Mbeki was prepared to formally charge his top cop.
Ingechukua miaka mingine 2 na mashinikizo mengi ya kisiasa kumfanya Mbeki kujiandaa kumshtaki rasmi afisa wake wa polisi wa ngazi ya juu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
So today I can mark the first time when a cop kicked me.
Kwa hiyo leo naweza kuweka kumbukumbuku kwa mara ya kwanza kwa askari kunipiga mateke.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
The conviction must place a question mark over the actions of former President Thabo Mbeki, who appointed Selebi, at first took steps aimed at protecting Selebi and claimed that there was no evidence of wrongdoing on the part of Selebi even after Mbeki was briefed by the National Director of Public Prosecutions (NDPP) about the evidence against the former top cop.
Hukumu lazima iweke alama ya kuuliza dhidi ya vitendo vya rais wa zamani Thabo Mbeki, aliyemteua Selebi, mwanzoni alichukua hatua zilizokuwa na lengo la kumlinda Selebi na akadai kwamba hapakuwa na ushahidi wa makosa kwa upande wa Selebi hata baada ya Mbeki kupewa taarifa fupi na Mkurugenzi wa Taifa wa Mashitaka ya umma (NDPP) kuhusu ushahidi dhidi ya ofisa huyo wa zamani wa polisi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: