Preguntar a Google

Usted buscó: counterfeit (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

"Is this drug real or counterfeit?

Suajili

"Dawa hii ni bandia au halali?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

Total counterfeit drug incidents by year.

Suajili

Visa vya dawa bandia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Technological innovations to track counterfeit drugs

Suajili

Ubunifu wa kiteknolojia

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Some of the packaging errors on counterfeit drugs are quite comical.

Suajili

Pakiti zingine, katika dawa hizi huwa ni za kuchekesha sana.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Tracking Counterfeit Medicines in the Developing World · Global Voices

Suajili

Mbinu za Kugundua Dawa Bandia katika Nchi Zinazoendelea

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Many innovative solutions are being proposed to help tackle the spread of counterfeit drugs in developing countries.

Suajili

Mbinu tofauti zinatafutwa za kusaidia kukumbana na janga hili katika nchi hizi zinazoendelea.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

More important than their economic impact, counterfeit medicines pose a significant global public health problem.

Suajili

La muhimu hata kuliko athari za ki-fedha, dawa hizi zinaleta shida kubwa katika suala la afya kote duniani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

For instance, many defective and counterfeit antimalarials were reported in developing countries this year but only after patients had been treated.

Suajili

Kwa mfano, dawa nyingi za kukinga malaria zilipatikana katika nchi hizi, mwaka huu lakini baada ya wagonjwa kuzitumia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Despite the innovation mentioned earlier, detecting counterfeit drugs is still a very difficult task and requires both advanced technology and the capacity to strictly enforce international regulations.

Suajili

Hata tukizingatia ubunifu huu tuliozungumzia hapo awali, kugundua dawa hizi ni jambo gumu, ambalo linahitaji teknolojia za kisasa na uwezo wa kuhakikisha kuwa maagizo ya kitaifa yanafuatwa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

In 2007, the Ministry of Health in Kenya issued a warning about counterfeit antimalarial medication Duo-Cotecxin being sold in Nairobi and how to detect it.

Suajili

Mwaka wa 2007, idara ya afya Kenya iliwatahadharisha wananchi kuhusu dawa za malaria za Duo-Cotecxin ambazo zilikuwa zinauzwa sana Nairobi na jinsi ya kuzitambua.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Since the authentic brand did not contain calcium carbonate, he and his colleagues were able to distinguish counterfeits from the genuine tablets by adding vinegar to bits of the tablets.

Suajili

Kwa sababu dawa halali huwa haina madini hayo, basi inakuwa rahisi kwao kutambua dawa hizi bandia kwa kuongeza siku kwenye vipande vidogo vya dawa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Every soul must taste death; and only on the Day of Resurrection will you be fully recompensed; so the one who is saved from the fire and is admitted into Paradise – he is undoubtedly successful; and the life of this world is just counterfeit wealth.

Suajili

Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Know that the life of this world is nothing but play and pastime, and adornment, and boasting amongst yourselves, and the desire to surpass each other in wealth and children; like the rain the produce of which pleased the farmer, then dried so you see it yellow, and then turned into dry trampled hay; and in the Hereafter is a severe punishment, and the forgiveness from Allah and His pleasure; and the life of this world is nothing but counterfeit wealth.

Suajili

Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo