Usted buscó: diplomat (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

the palace and the radio, in the plateau and residence remain the bastions of gbagbo according to a diplomat contacted by #afp

Suajili

makazi ya rais na redio, huko uwanda wa juu na makazi binafsi ndivyo vimebaki tegemeo pekee la gbagbo kwa mujibu wa mwanadiplomasia aliyezungumza na #afp

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

a petition targeting top usa and uk diplomats reads:

Suajili

hati hiyo ya malalamiko inayowalenga wanadiplomasia wa marekani na uingereza inasomeka kama ifuatavyo:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

indian diplomats are expected to meet their australian counterparts for crisis talks in canberra today following the murder of an indian migrant in melbourne.

Suajili

wanadiplomasia wa kihindi wanatarajiwa kukutana na wenzao wa australia kwa ajili ya mazungumzo ya kutatua tatizo hili huko canberra leo kufuatia kifo cha muhamiaji wa kihindi mjini melbourne.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

of course, most of these were brewed in smoky backrooms where western diplomats met military officers while sipping on expensive wines and spirits, enticing them with not only the control of national resources if they kicked out an anti-western radical leader but also the support of their capital.

Suajili

ni kweli, kuwa mapinduzi mengi yalipangwa kwenye vyumba vya faragha ambapo wanadiplomasia wa nchi za magharibi walikutana na maafisa wa kijeshi huku wakigida mvinyo na pombe ghali, wakiwafanya si tu wawe na tamaa ya kudhibiti raslimali za taifa kama watang’oa viongozi wenye misimamo mikali dhidi ya nchi za magharibi lakini pia kuwafadhili mtaji.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

there have already been expulsions of diplomats on both sides.

Suajili

tayari kumekuwa na matukio ya kuwafukuza wanadiplomasia katika pande hizo mbili.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

they will kill her: http://www.change.org/petitions/high-commissions-and-diplomats-of-secular-western-nations-asylum-to-the-family-of-11-year-old-christian-girl-accused-of-blasphemy# …

Suajili

kwa hakika watamuua: http://www.change.org/petitions/high-commissions-and-diplomats-of-secular-western-nations-asylum-to-the-family-of-11-year-old-christian-girl-accused-of-blasphemy# …

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo