Usted buscó: referendum (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

referendum

Suajili

kura ya maoni

Última actualización: 2015-04-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

the mock civil referendum

Suajili

kura ya maoni ya kiraia ya majaribio

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

from facebook page: civic referendum

Suajili

kutoka katika ukurasa wa facebook: civic referendum

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

how to mark the ballot in the referendum

Suajili

namna ya kuweka alama kwenye karatasi ya upigaji kura ya maoni

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

violent clashes at anti-referendum protests

Suajili

mapigano wakati wa maandamano ya kupinga kura hiyo ya maoni

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

this is a roundup of tweets related to the referendum.

Suajili

huu hapa ni mkusanyiko wa habari zilizotawala kwenye twita zinazohusiana na kura hiyo ya maoni.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

this post is part of our special coverage south sudan referendum 2011.

Suajili

picha kwa hisani ya kamati ya kimataifa ya uokoaji.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

sudan: southern sudan independence referendum on twitter · global voices

Suajili

sudani: kura ya maamuzi ya uhuru wa sudani kusini kwenye twita

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

granddaugher of former prime minister has been arrested over anti-sudan referendum protest:

Suajili

mjukuu wa kike wa waziri mkuu wa zamani amekamatwa kwa kosa la kuandamana kupinga kura hiyo ya maoni:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

- keeping the government will raise suspicions about the fairness of the elections and the referendum on the constitution

Suajili

-kuendelea na serikali hii kutaleta wasiwasi kuhusu kutendeka haki wakati wa uchaguzi na kura ya maoni kuhusu katiba

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

on the crimea referendum, in which that region of ukraine overwhelmingly voted to be annexed by russia:

Suajili

kuhusu kura ya maoni ya crimea, ambapo mkoa huo wa ukraine ulipiga kura ya kishindo ya kujitenga na urusi:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

south sudan became independent on july 9, 2011 after a referendum that was held on possible independence from sudan was approved.

Suajili

sudan kusini ilipata uhuru julai 9, 2011 baada ya kura ya maoni ambayo ilifanyika siku ya uhuru kutoka sudan kupitishwa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

a referendum vote was scheduled for the same day, which was one that was opposed by the supreme court, the armed forces and the honduran legislature.

Suajili

kura ya maoni ilikuwa imepangwa kupigwa siku hiyo, kura hiyo ilikuwa inapingwa na mahakama ya juu, na majeshi ya nchi pamoja na baraza la wawakilishi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

is this being done for the love of sudan or as a blessing for the separation? this post is part of our special coverage south sudan referendum 2011.

Suajili

je, hili linafanyika kwa kuipenda sudani ama ni baraka kwa ajili ya kujitenga

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

and back in saudi arabia, bandar bin naif, wonders: a satellite has been launched specifically to monitor the referendum and developments in sudan.

Suajili

na huko huko saudi arabia, bandar bin naif, anajiuliza: #sudan قمر صناعي أنشىئ خصيصا لمراقبه الاستفتاء والأحداث في السودان، هل هو حبا في السودان أم مباركة للإنفصال http://bit.ly/eifsot chombo cha kurekodi mawasiliano angani (setilaiti) kilirushwa mahususi kwa ajili ya kufuatilia kura ya maoni na maendeleo ya nchi ya sudani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

facebook user leung chau ming was queued outside one of the polling stations on march 23; he described the touching scene on the facebook page of the civic referendum event:

Suajili

mtumiaji wa facebook leung chau ming aliyekuwa kwenye mstari wa kusubiri zamu nje ya moja ya vituo vya kupigia kura mnamo tarehe 23 machi; alieleza namna alivyoguswa na yale aliyoyaona kupitia ukurasa wa facebook wa tukio la kura ya maoni:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

sassou-nguesso, nonetheless, went ahead with the referendum, asking the congolese people if they would grant the amendments necessary for him to hold onto power.

Suajili

sassou-nguesso, hata hivyo, aliendelea na mpango wake na kuitisha kura ya maoni, akiwauliza wananchi wa kongo kama wanaweza kubariki marekebisho yanayoweza kumwezesha kubaki madarakani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

activists and scholars in hong kong worked together for two years to organize a citizen-led, technology-driven referendum on voting rights that took place at the end of june.

Suajili

wanaharakati na wanazuoni wa hong kong wamefanya kazi pamoja kwa miaka miwili kuandaa kura ya maoni inayoongozwa na raia na kuwezeshwa na teknolojia juu ya haki ya kupiga kura iliyofanyika mwishoni mwa mwezi wa juni.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

now it is clear from sunday's constitutional referendum that denis sassou-nguesso, doesn't respect the constitution nor can he offer undisputed transparency.

Suajili

sasa ni wazi baada ya kura ya maoni ya jumapili kwamba denis sassou-nguesso, haheshimu katiba wala kuweka uwazi usio na shaka.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

...t would be good if the central commission for elections and referendums of tajikistan (ccert) demanded that all presidential candidates declare their annual income and its sources...

Suajili

...itakuwa vizuri kama tume ya mpito ya uchaguzi na kura ya maoni ya tajikistan (ccert) kuwataka wagombea wote wa urais kutangaza mapato yao ya kila mwaka na vyanzo vyake ...

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Obtenga una traducción de calidad con
7,724,637,319 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo