Preguntar a Google

Usted buscó: revolving fund (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

revolving fund

Suajili

umiinog pondo

Última actualización: 2011-09-12
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

By the heavens, ever-revolving,

Suajili

Naapa kwa mbingu yenye marejeo!

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

While the sun keeps revolving in its orbit.

Suajili

Na jua linakwenda kwa kiwango chake.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Later, we fund out that it was true.

Suajili

Baadaye tuligundua kuwa ilikuwa kweli.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

It is He who created night and day, the sun and the moon, revolving on its orbit.

Suajili

Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

And when fear comes, you see them looking at you, their eyes revolving like one being overcome by death.

Suajili

Ikifika khofu utawaona wanakutazama na macho yao yanazunguka, kama yule ambaye aliye zimia kwa kukaribia mauti.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

(Photo credit: Global Green Grants Fund)

Suajili

(Picha na: Global Green Funds).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

One of them took a few seconds to get in with no issues at all; the other one could not get in, barred at the revolving door, a regular feature in many Brazilian banks.

Suajili

Mmoja wao alichukua sekunde chache kuingia bila ya matatizo yoyote; mwingine hakuweza kuingia, alizuiwa na mlango unaozunguka, ambao ni kitu cha kawaida katika mabenki mengi nchini Brazil.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Julio Segovia, a reader of the La Nación newspaper article that informed about this announcement, criticized the special fund for housing:

Suajili

Julio Segovia, ambaye ni msomaji wa makala iliyochapishwa na gazeti la La Nación na ambayo ndiyo ilibeba tangazo hilo la mfuko huo maalumu, alikosoa mfuko huo maalumu wa nyuma akisema:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

The Canadian government supposedly released an angry statement today, denouncing a spoof that supposedly made it as far as the Wall Street Journal claiming that Canada had shifted its policy and would be agreeing to greenhouse gas reduction targets and drafting a plan for a climate adaptation fund for developing nations.

Suajili

Serikali ya Canada inasemekana imetoa tamko la jazba leo, ikikanusha upotoshaji wa habari zinazodaiwa kufanywa nayo kwa mujibu wa Jarida la Wall Street likidai kwamba Canada imebadili sera yake na itakuwa ikikubaliana na malengo ya kupunguza hewa ya ukaa na kutengeneza mpango kwa ajili ya mfuko wa kukabiliana na tabianchi kwa nchi zinazoendelea.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

On 13 March, he declared a national emergency, which made federal funds available to respond to the crisis.

Suajili

Mnamo 13 Machi, alitangaza hali ya dharura la taifa, ambayo ilifanya ufadhili wa jimbo kupatikana kushughulikia hali ya hatari.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

On 5 February, Bill and Melinda Gates announced a $100 million donation to the WHO to fund vaccine research and treatment efforts along with protecting "at-risk populations in Africa and South Asia".

Suajili

Mnamo 5 Februari, Bill na Melinda Gates walitangaza msaada wa milioni $100 kwa WHO kufadhili utafiti wa chanjo na juhudi za matibabu pamoja na kukinga "idadi ya watu walio hatarini Afrika na Asia Kusini".

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

On 5 February, the WHO appealed to the global community for a $675 million contribution to fund strategic preparedness in low-income countries, citing the urgency to support those countries which "do not have the systems in place to detect people who have contracted the virus, even if it were to emerge".

Suajili

Tarehe 5 Februari, WHO iliomba jumuiya ya kimataifa kwa mchango wa milioni $675 kufadhili matayarisho ya kina katika nchi zenye mapato duni, akitaja haraka inayohitajika kusaidia nchi ambazo "hazina mifumo ya kutambua watu walioambukizwa na virusi, hata kama ingetokea".

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

A Ugandan man at another screening says, "There is some kind of people, some NGO, who are trying to mobilize funds using the atrocities committed in Northern Uganda."

Suajili

"Kuna watu fulani, shirika fulani linalotaka kutafuta pesa kwa kutumia ghasia iliyofanyika Kaskazini mwa Uganda", Mganda mwingine katika onyesho lingine alisema.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

A project that many believe in, judging by the sponsors: from Al Jazeera, to the Ministry of Foreign Affairs of the Netherlands, to the International Organisation for Migration and the European Union Fund for repatriation.

Suajili

Mradi ambao wengi wanauamini, wakiupima kwa kuzingatia wafadhili wake: Kutoka Al Jazeera, hadi Wizara ya Mambo ya Nje ya Uholanzi, hadi Shirika la Kimataifa la Uhamiaji pamoja na Mfuko wa Umoja wa Ulaya wa Urudishaji wa Wahamiaji Makwao.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

After a grenade explosion killed three children in an anti-government protest site in Bangkok, the United Nations Children’s Fund urged government and protest leaders to protect children by keeping them away from protests.

Suajili

Baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la Bangkok, Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa lilitoa wito kwa serikali na viongozi wa maandamano kuwalinda watoto na kuwaweka mbali na maandamano.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Aid groups including Save the Children, World Vision and the Red Cross Disaster Fund (which is separate from the International Committee), issued a joint statement also opposing evacuations and adoptions.

Suajili

Makundi ya kutoa msaada pamoja na Save the Children, World Visison na Mfuko wa Shirika la Msalaba Mwekundu wa majanga (ambalo ni tofauti na Kamati ya Kimataifa), yalitoa tamko la pamoja kupinga kuchukuliwa kwa watoto pamoja na kuwaasili.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

And because the legal power Goliath is able to organizie is n-th time as huge as the limited funds a David has at his disposal.

Suajili

Na kwa sababu ya nguvu ya kisheria Goliati ana uwezo wa kupanga matokeo mara nyingi zaidi kuliko Daudi kutokana na uwezo mkubwa wa kifedha alionao.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Carlos Rodríguez of Rescatar summarizes the reactions of some in the press who are downplaying the gesture by pointing out that the former priest does not have a wife or children to support, while others wonder whether he will spend the reserved funds at his disposition.

Suajili

Carlos Rodriguez wa Rescatar anatoa muhtasari wa jinsi baadhi ya wanahabari ambao wanarahisisha kitendo hicho kwa kusema kuwa padri huyo wa zamani hana mke wala watoto wa kuwalea, wakati wengine wanajiuliza iwapo atatumia fedha alizokwisha kuzihifadhi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

Concern Worldwide is able to guarantee that 100% of Twestival funds will go direct to project costs.

Suajili

Shirika la Concern Worldwide linaweza linaweza kuhakikisha kuwa 100% ya fedha za Twestival zitakwenda moja kwa moja kwenye gharama za mradi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo