Usted buscó: adapted (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

adapted

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

people adapted to war.

Suajili

watu wameshazoea vita.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

from the small seed when it is adapted

Suajili

kutokana na mbegu ya uzazi inapo miminwa.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

it appeared that bats are well adapted to covs anatomically and physiologically.

Suajili

ilionekana kwamba virusi vya cov vilizoeleka kwa popo vyema kimuundo na kiutendakazi wa mwili.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

presumably, it has already been adapted to another host close to humans.

Suajili

inaweza kuchukuliwa kwamba, tayari vimezoeleka kwa mbebaji mwingine wa karibu na binadamu.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

the ancestral virus is usually well adapted and non-pathogenic in this host.

Suajili

virusi vya kiukoo kwa kawaida vimezoeleka na havina uwezo wa kusababisha ugonjwa ndani ya mbebaji huyu.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

in addition, mutation rate is often high when covs are not well adapted to the host.

Suajili

pia, viwango vya kubadilika mara nyingi huwa juu wakati ambapo virusi vya cov havijazoeleka kwenye mbebaji.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

all four community-acquired hcovs causing mild symptoms have been well adapted to humans.

Suajili

virusi vyote vinne vya hcovs vinavyosambazwa kijamii vinavyosababisha dalili za wastani vimezoea binadamu.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

from another perspective, it might also be true that humans have been well adapted to these four hcovs.

Suajili

kwa mtazamo mwingine, pia huenda ikawa ni ukweli kwamba binadamu wamezoea virusi hivi vinne vya hcov.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

it is well adapted to these camels that have turned from an intermediate host to a stable and natural reservoir host.

Suajili

vilizoeleka vyema ndani ya ngamia hawa ambao wamegeuka kutoka kwa wabebaji wa kati wa virusi hadi kuwa wabebaji thabiti na asilia wanaohifadhi virusi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

limmorgal is a computer adapted to be powered by solar energy and requires low energy consumption (24 watts required).

Suajili

limmorgal ni kompyuta ilitengenezwa mahususi kutumia umeme wa nishati ya jua na inatumia nishati kidogo sana (watt 24 tu zinahitajika).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

in addition to sars-cov-2, this also applies to mers-cov, which is well adapted to dromedary camels.

Suajili

pamoja na sars-cov-2, hii pia hutumika kwa mers-cov, virusi ambayo vimezoeleka vyema ndani ya ngamia warefu zaidi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

in contrast, highly pathogenic sars-cov and mers-cov have not adapted to humans well and their transmission within humans cannot be sustained.

Suajili

kinyume chake, virusi vya sars-cov na mers-cov ambavyo husambazwa zaidi havijazoeleka vyema kwa binadamu na uenezi wake miongoni mwa binadamu hauwezi kudhibitiwa.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

the first hcov-229e strain was isolated from the respiratory tract of patients with upper respiratory tract infection in the year of 1966, and was subsequently adapted to grow in wi-38 lung cell lines.

Suajili

aina ya kwanza ya hcov-229e ilitolewa kwa njia ya kupumua ya wagonjwa waliokuwa na maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya kupumua katika mwaka wa 1966, na baadaye iliendelea kukua katika mikondo ya seli za mapafu ya wi-38.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

with the covid-19 outbreak, phe and rcgp rsc have adapted existing influenza surveillance to monitor the spread of covid-19 in the community, and this protocol sets out the basis for that collaboration.

Suajili

kukiwa na mkurupuko wa covid-19, phe na rcgp rsc zimeanza kutumia uchunguzi uliopo wa homa ya mafua ili kufuatilia kuenea kwa covid-19 katika jamii na utaratibu huu unaweka bayana msingi wa ushirikiano huo.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

all these four community-acquired hcovs have been well adapted to humans and are generally less likely to mutate to cause highly pathogenic diseases, though accidents did occur for unknown reasons as in the rare case of a more virulent subtype of hcov-nl63, which has recently been reported to cause severe lower respiratory tract infection in china.

Suajili

virusi hivi vyote vya hcov vinavyosambazwa kijamii vimepata njia ya kukaa ndani ya binadamu vyema na vina uwezekano mdogo wa kubadilika ili kusabaisha ugonjwa wa virusi, ingawa ajali zilitokea kwa sababu zisizojulikana kama ilivyo katika visa nadra vya aina ndogo yenye virusi zaidi ya hcov-nl63, ambavyo hivi majuzi viliripotiwa kusababisha maambukizi kali ya sehemu ya chini ya njia ya kupumua nchini china.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,791,634,608 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo