De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
i had some ground to believe that my family would not suffer a drastic change in the standard of living but we did have to sell the car and now i ride a bicycle.
nilikuwa na sababu ya kufikiri kwamba familia yangu isingekumbana na mabadiliko makubwa ya mtindo wa maisha lakini tuliuza gari na sasa naendesha baiskeli.
another video shadows bicycle taxi driver dennis ewalu as he repairs his bicycle, negotiates with customers and cycles nearly 80 km (50 miles) in one day.
video nyingine inamfuatilia mwendesha teksi denis ewalu wakati akifanya ukarabati wa baiskeli yake, akijadili bei na wateja wake na kuendesha karibu kilometa 80 (maili 50) katika siku moja.
the riots during the evenings of 19 and 20 may, 2014 were a reaction to the killing of a 19-year-old recent high school graduate after he and his father chased a thief who had stolen a bicycle.
ghasia wakati wa nyakati zajioni za tarehe 19 na 20 mwezi mei, 2014 zilikuwa ni mwitikio wa mauaji ya kijana asiye na hatia mwenye umri wa miaka 19 aliyekuwa ndio kwanza amemaliza sekondari baada ya yeye na baba yake kumfukuza mwizi aliyekuwa ameiba baiskeli yao.
@stevenputter: #zambia, 1000 bicycles “for personal use” thought it was only god that could be in more than one place at a time, no wonder investigated
@stevenputter: #zambia, baiskeli 1000 “kwa matumizi binafsi” nilidhani ni mungu peke yake ambaye anaweza kuwa sehemu zaidi ya moja kwa wakati mmoja, si ajabu wanachunguzwa