Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
details of claiming money
maelezo ya kudai pesa
Última actualización: 2024-04-14
Frecuencia de uso: 31
Calidad:
a person claiming a car fare
mtu anayeongoza garimoshi kwenye njia ya kupitia huitwa
Última actualización: 2022-01-10
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
he quotes the results of a study claiming that:
ananukuu matokeo ya tafiti inayodai kuwa:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
one blogger goes as far as claiming that the instrument spreads hiv!
mwanablogu mmoja amefika mbali ha hata kudai kwamba kifaa hiki kinaeneza virusi vya ukimwi!
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the group has issued a press statement claiming responsibility for the organization of the protest.
kikundi hicho kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kudai kuhusika na maandamano hayo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
members of the group have also filed a report with the public prosecutor claiming responsibility for the event.
wanachama wa kikundi hicho pia waliwasilisha ripoti kwa mwendesha mashitaka ya umma kudai uwajibikaji kwa tukio hilo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
chipas analyses the case, claiming that there are "two perspectives" on the attack:
chipa anachambua shauri hilo, na kudai kuwa kuna "mitazamo miwili" juu ya shambulio lile:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
he knelt down and begged the old lady for forgiveness, claiming it would be the last time he'd steal.
lipiga mgoti na kumwomba mwanamke wa umri wa makamo amsamehe, akimsihi kwamba hiyo ndiyo itakuwa mara yake ya mwisho kuiba.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
amina is the prisoner of the tunisian political hypocrisy and the silence of those claiming to be democrats but do not dare to take sides in this ongoing battle.
amina ni mfungwa wa unafiki wa kisiasa nchini tunisia na kimya cha wale wanaojidai kuwa wanademokrasia lakini hawajaribu kuonyesha msimamo katika vita hivi vinavyoendelea.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
more than 50 human rights and media organizations issued a joint statement last week, claiming the government has threatened the press in advance of the forthcoming elections.
zaidi ya asasi 50 za haki za binadamu na vyombo vya habari vilitoa tamko la pamoja wiki iliyopita, vikidai kwamba serikali imevitishia vyombo vya habari mapema kabla ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
ramsy ama ramah (@ramjanja) suggested that initial reports claiming that an explosion had taken place at westgate were mistaken:
ramsy ama ramah (@ramjanja) alidhani kuwa taarifa za mwanzo zinazodai kuwa mlipuko umetokea eneo la westgate zilikosewa:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the new patriotic party (npp), the strongest opposition party in ghana has challenged the recent presidential election results, claiming electoral fraud.
chama kikuu cha upinzani nchini ghana, new patriotic party (npp), kimeyapinga matokeo ya hivi karibuni ya uchaguzi wa rais, kikidai uchaguzi huo ulighubikwa na vitendo vya udanganyifu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
akmal shaikh, a british citizen convicted of smuggling heroine into china, was executed on tuesday although his families along with the british government had pleaded for reprieve, claiming that he is mentally ill.
akmal shaikh, raia wa uingereza aliyeshtakiwa kwa kuingiza mihadarati kinyume cha sheria nchini china, aliuwawa siku ya jumanne japokuwa familia yake pamoja na serikali ya uingereza waliomba adhabu ipunguzwe, wakidai kuwa alikuwa ni mgonjwa wa akili.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
both the boycott campaign and the demonstration were sparked by the newspaper's latest alleged attempt at character assassination against brazilian president lula da silva, this time by publishing an article by césar benjamin, an ex-ally and current folha columnist, claiming that lula admitted in 1994 he had attempted to sexually subdue a fellow inmate when jailed for political crime in the 80's. with the denial of the other people present at the said conversation and even those jailed with lula during the dictatorship, including the said assaulted inmate, the author of the article apologised for any offense and the newspaper was forced to publish new stories denying the allegations a few days later.
vuguvugu zote mbili, lile la mgomo na lile la maandamano yalichochewa na madai ya hivi karibuni kwamba gazeti hilo limekuwa likijaribu kumchafua rais lula da silva kupitia makala iliyoandikwa na césar benjamin, ambaye alikuwa mtu wa karibu na rais huyo na ambaye sasa ni mwandishi wa makala wa gazeti hilo la folha, ambapo anadai kwamba lula alikiri kuwa mwaka 1994, lula alijaribu kumlazimisha mfungwa mwenzake kufanya ngono alipokuwa amefungwa kwa kosa la kisiasa katika miaka ya 80. pamoja na watu wanaodaiwa kuwepo katika mazungumzo hayo kukataa na hata wale waliofungwa pamoja na lula wakati wa utawala wa kidikteta, ikiwa ni pamoja na mfungwa huyo anayedaiwa kutendewa hayo, mwandishi wa makala aliomba msamaha kwa kosa hilo na gazeti hilo lilitakiwa kuchapisha habari mpya ili kukanusha shutuma hizo siku chache baadae.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: