Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
amidst his joy for his caribbean compatriots, living guyana felt a twinge of disappointment for the guyanese olympic contingent:
katikati ya kufurahia ushindi wa wazalendo wenzake kutoka karibeani, living guyana alijisikia kuwasononekea kundi la olimpiki kutoka guyana:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
venezuelans around the world who oppose their government have organized peaceful gatherings to make their voices heard and ensure local governments understand what their compatriots are living through.
wavenezuela duniani kote wanaopinga serikali yao wameandaa mikusanyiko ya amani kupaza sauti zao na kuzifanya serikali za nchi wanazoishi kuelewa mwenendo wa mambo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
while lebanese blogger rami from the +961 blog was content with certain aspects of the football fever, he was not impressed by some of what his compatriots are doing.
wakati mwanablogu wa kilebanoni rami wablogu ya +961 aliridhika na mambo fulani ya homa hii ya mpira wa miguu, hajavutiwa na baadhi ya yale wananchi wenzake wanayoyafanya.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
we're calling on those whose friends, relatives, colleagues, or compatriots, have been threatened to help create and update the profiles of those missing or under arrest, so we can seek additional sources, verify, and link to online campaigns dedicated to freeing them.
tunatoa wito kwa wale wote ambao rafiki, ndugu, wenzao, au wapiganaji wenzao wametishwa kwa namna moja au nyingine ili kusaidia kutengeneza na kutoa taarifa mpya kuhusu wale waliopotea au waliokamatwa, ili kwamba tutafute vyanzo zaidi ili kuthibitisha na kuunganisha na kampeni za mtandaoni zinazolenga kuhakikisha wanaachiwa huru.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: