Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
journalist, photographer and blogger meg at life in lanka blog reports that in remote sri lankan villages some women do not have a say in what type of contraception they use.
mwandishi, mpiga picha na mwanablogu meg at life in lanka anaripoti kuwa kwenye sehemu za vijini nchini sri lanka baadhi ya wanawake hawana kauli kuhusu aina ya mpango wa uzazi wanaoutaka.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
finally, almost 50 percent of women have access to some means of contraception .... this makes rwanda one of the very few african countries that will have almost entirely achieved its millennium development goals in 2015.
mwishoni, takribani asilimia 50 ya wanawake wanapata huduma za uzazi wa mpango...hii ikiwa na maana kuwa rwanda ni moja ya nchi chache za afrika ambazo zinakaribia sana kufikia malengo ya milenia mwaka 2015.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
their husbands were not keen on using condoms and preferred that their wives used contraception instead; so the inexpensive, easily available and quite effective condom for men was not an option, leaving contraception entirely up to the women.
waume zao hawatumii kondomu na wanapenda wake zao watumie mbinu nyingine za kupanga uzazi; kwa hiyo njia rahisi inayopatikana kirahisi na yenye ufanisi ya kutumia kondomu haipendwi na wanaume, hiyo ikifanya suala la kujikinga na mimba zisizotarajiwa kuwa ni wajibu wa mwanamke.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: