Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
couple story
hadithi ya upendo
Última actualización: 2023-12-31
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and we shall couple them with maidens wide eyed.
na tutawaoza mahuru-l-aini.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
children are excluded from all but a couple of us prisons.
watoto hawahusishwi kwenye magereza yote isipokuwa mawili tu nchini marekani.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
usa: interracial couple denied marriage license · global voices
marekani: wanandoa wa rangi tofauti wanyimwa cheti cha ndoa
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
you can spend a couple more hours there and write a piece.
wewe pia unaweza kutumia walau saa mbili kukaa pale na kuandika simulizi yako.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
in this case, the court had granted permission for the couple to marry.
katika shauri hili, mahakama ilitoa ruksa kwa watu hao wawili kufunga ndoa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
are you suggesting an employee / employer relationship for the married couple?
kwa hiyo unapendekeza uhusiano wa mwajiriwa/mwajiri kwa wanandoa?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
to be educated goes beyond memorizing a couple of names and forgetting them the next day.
tkuelimika kunaenda mbali zaidi ya kukariri majina kadhaa na kuyasahau siku inayofuata.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
couple of months ago he had a meeting with secretary clinton in nairobi during her africa trip.
miezi miwili iliyopita alikuwa na mkutano na katibu clinton jijini naorobi wakati wa ziara yake ya afrika.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
in less than a couple of hours a website metro29.ru has been installed to cover the events.
chini ya masaa mawili tovuti ya metro29.ru iliundwa ili kupasha habari kuhusu tukio hilo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
a question echoing through the blogosphere for a couple of weeks, but the response is slow in coming.
swali hili linarudiwa rudiwa kupitia blogu mbalimbali kwa majuma kadhaa sasa, lakini majibu yamekuwa vigumu kupatikana.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i participated in ending the couple's tragedy caused by the father's excessive addiction.
nilishiriki kumaliza mgogo wa wanandoa unaosababishwa na ulevi wa pombe uliopitiliza wa baba
Última actualización: 2022-09-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
a couple of bloggers have wished the president well in his new found love following the death of his wife ethel three years ago.
wanabloga wachache wamemtakia heri rais katika mapenzi mapya aliyoyapata baada ya kifo cha mkewe ethel miaka mitatu iliyopita.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
in the meantime, the couple reconciles and settles another round of pleasure on bed to resolve the dispute and do not want to pursue further.
wakati huo huo, wanandoa hao wataafikiana na kuanza duru nyingine ya starehe kitandani ili kusuluhisha mgogoro na hawatataka kuendelea na kesi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
a couple said on their t-shirts that they have been together for eight years and they are looking forward to getting married.
wenzi walisema kupitia ujumbe wa fulana kwamba wamekuwa pamoja kwa miaka nane na wanajiandaa kuoana.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
for instance, a lot of reports came from communities with limited access to registration centres and a couple of such communities had the deadline for voter registration extended by two days.
kwa mfano, taarifa nyingi zilikuja kutoka kwenye jamii zisizo na fursa ya kutosha kufika kwenye vituo vya kujiandikishia kupiga kura na jamii kadhaa kama hizo ilibidi ziongezewe muda wa mwisho wa kujiandikisha kwa siku mbili zaidi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
at that time, sata’s appearance was that of an ailing man, a confirmation of his scraggy appearance at the high court a couple of weeks earlier.
wakati huo, mwenekano wa sata ulikuwa ule wa mtu aliyedhoofishwa na ugonjwa, hali inayothibitisha madai ya kuonekana mkondefu mno alipojitokeza kwenye mahakama kuu majuma kadhaa yaliyopita.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
if a woman fears from her husband misconduct or desertion, there is no sin upon the couple if they reach a reconciliation between themselves; and reconcilement is better.
na mwanamke akichelea kutupwa au kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu. na suluhu ni bora.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
nik ahnag, a leading cartoonist and blogger, has published a couple of cartoons about the gaza invasion and the inequal power balance between israel and palestinians on one side, and iranian government repression on the other side.
nik ahnag, bloga mashuri na mchoraji wa vikaragosi, alichora picha za vichekesho zinazohusu uvamizi wa gaza na mizani ya nguvu zisizolingana kati ya israeli na palestina kwenye upande mmoja na ukandamizaji wa serikali ya irani kwenye upande mwingine.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
at the same time, popular russian blogging platforms as livejournal.com or ya.ru could have been used for live reporting but, as discussed above, there is only a couple of examples of this use.
wakati huo huo, majukwaa maarufu ya kublogu nchini urusi kama vile livejournal.com au ya.ru yangeweza kutumika ili kublogu moja kwa moja lakini, kama ilivyojadiliwa hapo juu, kuna mifano michache tu ya matumizi hayo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: