Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
poisonous poison
kichefuchefu
Última actualización: 2021-05-18
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
but the tongue can no man tame; it is an unruly evil, full of deadly poison.
lakini hakuna mtu aliyeweza kuufuga ulimi. ulimi ni kitu kiovu, hakitawaliki, na kimejaa sumu inayoua.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
this obsession with virginity is shallow at best and deadly at worst.
huku kushupaliwa kwa bikira kumekosa kina zaidi ya yote na kuna hali ya umauti zaidi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
togo disqualified from african cup following deadly attack · global voices
togo yaondolewa kwenye mashindano ya kombe la afrika baada ya shambulizi baya
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
congolese security forces have fired into crowds of demonstrators with deadly results.
vikosi vya usalama nchini kongo vimerusha risasi za moto kwa makundi ya waandamanaji na matokeo yake ni wengi kuuawa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
is it likely to exacerbate and make more deadly sectarian cleavages or the opposite?
je, inawezekana ikachochea misuguano ya kidini au kinyume chake?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
it was the second deadly israeli attack to strike a un school in the past few hours.
ni shambulio la pili la israeli lililopiga shule ya umoja wa mataifa katika masaa machache yaliyopita.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
natives of the region are using poison and other weapons against lions that are attacking their goats.
wenyeji wa mkoa wanatumia sumu na silaha nyingine dhidi ya simba ambao huwashambulia mbuzi wao.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
if you keep away from the deadly sins that have been forbidden, we shall efface your faults, and lead you to a place of honour.
mkiyaepuka makubwa mnayo katazwa, tutakufutieni makosa yenu madogo, na tutakuingizeni mahali patukufu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
in september 2009, the tension between the two led to deadly riots in kampala, and citizens fear that the fire could lead to future unrest.
mwezi septemba 2009, hali mbaya ya uhusiano kati yao ilipelekea ghasia mbaya katika kampala, na raia wanahofia kwamba moto huu unaweza kusababisha ghasia nyingine baadaye.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
do you then feel secure against his causing you to be swallowed up by the earth when you are back on land, or his sending a deadly sand storm upon you?
je! mmeaminisha ya kuwa hatakudidimizeni upande wowote katika nchi kavu, au kwamba hatakuleteeni tufani la kokoto?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
after surviving the deadly flood last september, residents of barangay bagong silangan are facing a bigger challenge: rebuilding their homes and their lives.
baada ya kunusurika na mafuriko mabaya ya mwezi septemba, wakazi wa barangay bagong silangan wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi: kujenga upya nyumba zao na maisha yao.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
efforts in the tiny west african state of the gambia, which hasn't been affected by the devastating ebola outbreak, are being intensified to protect the country from the deadly virus.
jitihada za gambia, nchi ndogo ya afrika magharibi ambayo bado haijakumbwa na mlipuko wa maradhi ya ebola, zimeongezwa kuilinda nchi hiyo na virusi vinavyoeneza maradhi hayo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
if the deadly attack succeeds in prompting vigilante violence by kenyan citizens or heavy-handed government reactions against somali residents, shabaab stands a chance of recasting itself as the vanguard militia protecting somalis against external enemies.
kama shambulio hilo baya litafanikiwa kuibua vurugu baina ya raia wa kenya au hatua nzito za serikali dhidi ya wa-somali, basi al-shabaab itakuwa na nafasi ya kujitengenezea picha ya kikundi cha kijeshi kinachowalinda wa-somali na maadui wa nje.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
do you, then, feel secure against his causing you to be swallowed up by a tract of the earth, or letting loose a deadly whirlwind charged with stones towards you, and there you will find none to protect you?
mmeaminisha ya kuwa hatakudidimizeni upande wowote katika nchi kavu, au kwamba hatakuleteeni tufani la kokoto? kisha msipate wa kumtegemea.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
"grandfather" takes a deep breath to start his day and falls down beside a journal with the headline: "deadly pollution of tehran's air"
"babu" anavuta pumzi nzito ili kuianza siku yake na kuanguka chini kando ya jarida lenye kichwa cha habari: “uchafuzi uliokithiri wa hewa ya tehran"
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible