De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
again diligent loves me
ananipenda
Última actualización: 2016-04-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
they are determined and diligent, enduring difficulties and fatigue, and are very dedicated to their work.
wafanyakazi hao ni watu wanyoofu na wavumilifu kwa usumbufu na mambo mengi magumu, na wamejitoa kabisa katika kulitumikia taifa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
it will take years of hard, courageous and diligent work to get us back to a health system that’s respected and effective.
itachukua miaka mingi ya kazi ngumu, yenye kujaa ujasiri na unyoofu ili kuturejesha katika mfumo wa afya ulio wa heshima na wenye ufanisi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
when i shall send artemas unto thee, or tychicus, be diligent to come unto me to nicopolis: for i have determined there to winter.
baada ya kumtuma kwako artema au tukiko, fanya bidii kuja nikopoli unione, maana nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
and we have sent with them our brother, whom we have oftentimes proved diligent in many things, but now much more diligent, upon the great confidence which i have in you.
basi, pamoja na ndugu hao, tumemtuma ndugu yetu mwingine ambaye mara nyingi tumempa majaribio mbalimbali, tukamwona kuwa ni mwenye hamu kubwa ya kusaidia; hata sasa amekuwa na moyo zaidi kwa sababu ana imani sana nanyi.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
wherefore, beloved, seeing that ye look for such things, be diligent that ye may be found of him in peace, without spot, and blameless.
kwa hiyo wapenzi wangu, mkiwa mnangojea siku ile, fanyeni bidii kuwa safi kabisa bila hatia mbele ya mungu, na kuwa na amani naye.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
but those of them who are firm in knowledge and the believers believe in that which is revealed unto thee, and that which was revealed before thee, especially the diligent in prayer and those who pay the poor-due, the believers in allah and the last day. upon these we shall bestow immense reward.
lakini walio bobea katika ilimu miongoni mwao, na waumini, wanayaamini uliyo teremshiwa wewe, na yaliyo teremshwa kabla yako. na wanao shika sala, na wakatoa zaka, na wanao muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho - hao tutawapa malipo makubwa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: