Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
the escalation comes after hamas, which governs gaza, rejected a truce brokered by egypt.
hatua hiyo inakuja baada ya hamas, kikundi kinachoitawala gaza, kukataa pendekezo la kumaliza mapigano lililotolewa na misri.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
however, the international media’s escalation of the venezuelan crisis and their complete silence when it comes to haiti, raises some important questions about the united states’ inconsistency in upholding the values of human rights and democracy.
hata hivyo, ukuzaji wa mgogoro wa venezuela unaofanywa na vyombo vya habari vya kimataifa na ukimya wake kwa mgogoro wa haiti, unaibua maswali muhimu kuhusu kuyumba kwa marekani katika kuimaisha tunu ya haki za binadamu na demokrasia.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: