Usted buscó: eve (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

eve

Suajili

hawa

Última actualización: 2013-08-01
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

on eve your birthday

Suajili

kwenye siku yako ya kuzaliwa

Última actualización: 2022-07-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

new year's s eve

Suajili

usiku wa mwaka mpya

Última actualización: 2022-05-22
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

wishing christmas and new year's eve

Suajili

accept insurance broker, tunakushukuru kwa kufanya kazi nasi kwa mwaka 2023. tunakutakia heri ya christmas na mwaka mpya,kwa changamoto au huduma za kibima wasiliana nasi. 0682315272 samwel clement joseph.

Última actualización: 2023-12-14
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

seven christian copts were shot dead on the eve of their christmas, on january 7.

Suajili

wakristo 7 wa madhehebu ya kikopti walipigwa risasi katika mkesha wa sikukuu ya krismas ya kikopti mnamo januari 7 mwaka huu.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

on the eve of their celebrations in egypt, copts go to churches and celebrate the holy event.

Suajili

wakati wa mkesha wa sherehe hizo nchini misri, waumini hueelekea makanisani na kusherehekea tukio hilo takatifu.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

on the eve of the revolution in 2011 anonymous members worldwide targeted several governmental websites in what was known as operation tunisia.

Suajili

katika mkesha wa mapinduzi mwaka 2011 wanachama wa kikundi hicho cha “wasiojitambulisha” waliotawanyika duniani kote walishambulia tovuti kadhaa za serikali katika kile kilichoitwa operation tunisia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

eeeh oh god i beg you to keep my dear eve safe because i love her so much i beg you oh god you are nothing i try very hard to love her but she has love for me because i wonder where i am wrong

Suajili

eeeh mwenye ezi mungu nakuomba humuweke salama mpenzi wangu hawa kwasababu nampenda sana nakuomba wewe mwenye ezi mungu bira wewe hakuna chochote kile najitaidi sana kumpenda lakini yeye ana upendo kwangu kwaini najiuriza nakosea wapi mimi

Última actualización: 2021-04-27
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

and whoever is in the heavens and the earth makes obeisance to allah only, willingly and unwillingly, and their shadows too at morn and eve.

Suajili

na viliomo mbinguni na katika ardhi vinamsujudia mwenyezi mungu tu vikitaka visitake. na pia vivuli vyao asubuhi na jioni.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

most women in bangladesh are vulnerable to fall victim to abuse such as rape, murder, eve teasing, dowry and acid attacks.

Suajili

wakawake wengi nchini bangladeshi wako kwenye hatari ya kufanyiwa dhuluma kama vile ubakaji, kuuwawa, kuchezewa, mahari na hata kumwagiwa tindikali.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

but i fear, lest by any means, as the serpent beguiled eve through his subtilty, so your minds should be corrupted from the simplicity that is in christ.

Suajili

lakini naogopa kwamba, kama vile yule nyoka kwa hila zake za uongo alimdanganya hawa, fikira zenu zaweza kupotoshwa, mkauacha uaminifu wenu wa kweli kwa kristo.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

in puerto rico, for example, on the eve of the three kings' visit, children leave grass in a shoebox for the horses of melchor, gaspar, and baltasar, thanking them for the gifts they will receive the next day.

Suajili

kwa mfano, nchini puerto rico, katika mkesha kuamkia siku ya ziara ya wafalme watatu, watoto huacha bilauri katika kisanduku kidogo kwa ajili ya farasi wa melchor, gaspar, na baltasar, wakiwashukuru kwa ajili ya zawadi watakazozipokea siku inayofuata.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,781,446,579 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo