Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
we detest politicians and political groups who strive to put blinders in exploiting the vulnerability of victims of yolanda.
sisi tunachukizwa na wanasiasa na makundi ya kisiasa ambayo hujitahidi kuweka vizingiti katika kutumia mazingira magumu ya waathirika wa yolanda.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
for its part, the government acknowledged the criticisms of its relief work but warned against politicians who are exploiting the situation to advance their political agenda:
kwa upande wake, serikali ilikubali kukosolewa kwa kazi yake ya kutoa misaada lakini ilionya dhidi ya wanasiasa ambao wanaitumia hali hiyo kuendeleza ajenda zao za kisiasa:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
as someone said “indians don’t caste their vote but vote their caste”, the politics of dividing people based on their caste and exploiting them as “vote banks” is a common practice.
kama alivyowahi kusema mtu mmoja “wahindi hawapigi kura bali wanapigia kura matabaka”, siasa za kuwatenganisha watu kwa kadri ya matabaka yao na kuwatumia kama “benki za kura” ni utaratibu wa kawaida.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: