Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
mexico has the highest number of kidnappings per capita of any country in the world.
meksiko ina wastani wa juu zaidi wa utekaji ikilinganishwa na nchi yoyote ile duniani.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
japan's economy (gdp 5 billion euros and 30 million per capita) is the second after the united states.
uchumi wa japani (pato la taifa la euro bilioni 5 na wastani wa euro milioni 30 kwa kila mjapani) ni wa pili baada ya marekani.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ivory coast, located in west africa, with a gdp of 19 million euros and a per capita of 967 euros is the third poorest country that takes part in the world cup, after honduras and bosnia.
kodivaa, nchi iliyoko afrika magharibi yenye pato la nchi la euro milioni 19 na wastani wa euro 967 kwa kila mkodivaa, ni nchi maskini zaidi kati ya nchi zinazoshiriki kwenye mashindano hayo, baada ya honduras na bosnia.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bahrain is regarded as an enemy of the internet according to the reporters without borders' 2014 report and is ranked second in the number of detained journalists per capita in 2013 according to the committee to protect journalists.
bahrain inaonekana kuwa adui wa mtandao wa intaneti kwa mujibu wa taarifa ya 2014 ya shirika la reporters without borders na imeshikilia nafasi ya pili kwa idadi ya waandishi wa habari waliokamatwa nchini humo kwa mwaka 2012 kwa mujibu wa kamati ya kulinda waandishi wa habari.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
many developed countries do not have enough hospital beds per capita, which limits a health system's capacity to handle a sudden spike in the number of covid-19 cases severe enough to require hospitalisation.
nchi nyingi zilizoendelea hazina vitanda vya kutosha vya kila mtu, ambayo inapunguza uwezo wa mfumo wa afya kushughulikia matukio ya ghafla ya covid-19 ambayo ni kali sana kuhitaji kulazwa hospitalini.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.