De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
ahellgeth, commenting on a post on african globalization, believes that this project has a lot of potential.
akitoa maoni katika ujumbe uliotumwa kwenye african globalization, ahellgeth, anaamini kwamba mradi huu una matumaini makubwa.
while disappearing languages are mostly those of indigenous peoples faced with globalization and state-nationalism, daniel moving out, a blog by a portugal native now in the uk, says not all “unofficial” languages are dying out:
huku lugha zinazopotea nyingi zake ni zile za watu watu wa makabila wanaokumbwa na utandawazi na utaifa wa dola, daniel moving out, blogu ya mwanablogu wa kireno anayeishi uingereza kwa sasa, inasema siyo lugha zote "zisizo rasmi" ambazo zinakufa.