Usted buscó: god's messenger (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

god's messenger

Suajili

gods messenger

Última actualización: 2021-03-16
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

those who deny the truth say, "you are not god's messenger."

Suajili

na walio kufuru wanasema: wewe hukutumwa.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

those who annoy god's messenger shall have a painful punishment."

Suajili

na wanao muudhi mtume wa mwenyezi mungu watapata adhabu chungu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

those who stayed at home were glad that they were left behind by god's messenger.

Suajili

walifurahi walio achwa nyuma kwa kule kubakia kwao nyuma na kumuacha mtume wa mwenyezi mungu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

god's messengers came to each of them with miracles.

Suajili

mitume wao waliwafikia kwa hoja zilizo wazi.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

say, "people, i am god's messenger to you all, he has sovereignty over the heavens and the earth.

Suajili

sema: enyi watu! hakika mimi ni mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na mwenyezi mungu mwenye ufalme wa mbingu na ardhi.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

when the hypocrites come to you, they say, “we bear witness that you are god’s messenger.”

Suajili

wanapo kujia wanaafiki husema: tunashuhudia ya kuwa wewe ni mtume wa mwenyezi mungu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

moses said to his people, "why do you create difficulties for me when you know that i am god's messenger to you?"

Suajili

na musa alipo waambia watu wake: enyi watu wangu! kwa nini mnaniudhi, nanyi mnajua kuwa hakika mimi ni mtume wa mwenyezi mungu niliye tumwa kwenu?

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

muhammad is not the father of any of your men, but is god's messenger and the seal of the prophets. god has knowledge of all things.

Suajili

muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni mtume wa mwenyezi mungu na mwisho wa manabii, na mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

those who lower their voices before god’s messenger—those are they whose hearts god has tested for piety.

Suajili

kwa hakika wanao teremsha sauti zao mbele ya mtume wa mwenyezi mungu, hao ndio mwenyezi mungu amezisafisha nyoyo zao kwa uchamngu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

it was not proper for the people of madinah and those desert arabs around them to hold back from following god's messenger, and to prefer their own lives to his life.

Suajili

haiwafalii watu wa madina na mabedui walio jirani zao kubakia nyuma wasitoke na mtume, wala kujipendelea nafsi zao kuliko yeye.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

it is they who say: “do not spend anything on those who side with god’s messenger, unless they have dispersed.”

Suajili

hao ndio wanao sema: msitoe mali kwa ajili ya walioko kwa mtume wa mwenyezi mungu, ili waondokelee mbali!

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

when moses said to his people, “o my people, why do you hurt me, although you know that i am god’s messenger to you?”

Suajili

na musa alipo waambia watu wake: enyi watu wangu! kwa nini mnaniudhi, nanyi mnajua kuwa hakika mimi ni mtume wa mwenyezi mungu niliye tumwa kwenu?

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

it is not for you to hurt god's messenger, neither to marry his wives after him, ever; surely that would be, in god's sight, a monstrous thing.

Suajili

wala haikufalieni kumuudhi mtume wa mwenyezi mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya mwenyezi mungu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

and when it is said to them, 'come now, and god's messenger will ask forgiveness for you,' they twist their heads, and thou seest them turning their faces away, waxing proud.

Suajili

na wanapo ambiwa: njooni ili mtume wa mwenyezi mungu akuombeeni maghfira, huvigeuza vichwa vyao, na unawaona wanageuka nao wamejaa kiburi.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

those are they that say, 'do not expend on them that are with god's messenger until they scatter off'; yet unto god belong the treasuries of the heavens and of the earth, but the hypocrites do not understand.

Suajili

hao ndio wanao sema: msitoe mali kwa ajili ya walioko kwa mtume wa mwenyezi mungu, ili waondokelee mbali! na mwenyezi mungu ndiye mwenye khazina za mbingu na ardhi, lakini wanaafiki hawafahamu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

and when a sign came to them, they said, 'we will not believe until we are given the like of what god's messengers were given.'

Suajili

na inapo wajia ishara, wao husema: hatutoamini mpaka tupewe mfano wa walio pewa mitume wa mwenyezi mungu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

when a sign comes to them, they say, "we will not believe in it until we are given what god's messengers have been given.

Suajili

na inapo wajia ishara, wao husema: hatutoamini mpaka tupewe mfano wa walio pewa mitume wa mwenyezi mungu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

and when jesus son of mary said, “o children of israel, i am god’s messenger to you, confirming what preceded me of the torah, and announcing good news of a messenger who will come after me, whose name is ahmad.”

Suajili

na isa bin mariamu alipo sema: enyi wana wa israili! hakika mimi ni mtume wa mwenyezi mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika taurati, na mwenye kubashiria kuja mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni ahmad!

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,781,450,066 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo