Usted buscó: godliness (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

godliness

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

but godliness with contentment is great gain.

Suajili

kweli dini humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

but (which becometh women professing godliness) with good works.

Suajili

bali kwa matendo mema kama iwapasavyo wanawake wamchao mungu.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

having a form of godliness, but denying the power thereof: from such turn away.

Suajili

kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha mungu, lakini wataikana nguvu yake. jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and to knowledge temperance; and to temperance patience; and to patience godliness;

Suajili

kuwa na kiasi katika elimu yenu, uvumilivu katika kuwa na kiasi, uchaji wa mungu katika uvumilivu wenu,

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

but refuse profane and old wives' fables, and exercise thyself rather unto godliness.

Suajili

lakini achana na hadithi zile zisizo za kidini na ambazo hazina maana. jizoeshe kuishi maisha ya uchaji wa mungu.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

all that; and whosoever venerates god's waymarks, that is of the godliness of the hearts.

Suajili

ndio hivyo! na anayetukuza ibada za mwenyezi mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

for kings, and for all that are in authority; that we may lead a quiet and peaceable life in all godliness and honesty.

Suajili

kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa mungu na mwenendo mwema.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself.

Suajili

na ubishi usio na kikomo kutoka kwa watu ambao akili zao zimeharibika, na ambao hawana tena ukweli. wanadhani dini ni njia ya kujipatia utajiri.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

according as his divine power hath given unto us all things that pertain unto life and godliness, through the knowledge of him that hath called us to glory and virtue:

Suajili

kwa uwezo wake wa kimungu, mungu ametujalia mambo yote tunayohitaji, ili tuishi maisha ya kumcha mungu kwa kumjua yeye aliyetuita tuushiriki utukufu na wema wake yeye mwenyewe.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

for bodily exercise profiteth little: but godliness is profitable unto all things, having promise of the life that now is, and of that which is to come.

Suajili

mazoezi ya mwili yana faida yake, lakini mazoezi ya kiroho yana faida za kila namna, maana yanatuahidia uzima katika maisha ya sasa, na pia hayo yanayokuja.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

but thou, o man of god, flee these things; and follow after righteousness, godliness, faith, love, patience, meekness.

Suajili

lakini wewe, mtu wa mungu, jiepushe na mambo hayo. zingatia uadilifu, uchaji wa mungu, imani, mapendo, subira na unyenyekevu.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

paul, a servant of god, and an apostle of jesus christ, according to the faith of god's elect, and the acknowledging of the truth which is after godliness;

Suajili

mimi paulo, mtumishi wa mungu na mtume wa yesu kristo naandika. mimi nimechaguliwa kuijenga imani ya wateule wa mungu na kuwaongoza waufahamu ukweli wa dini yetu,

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and without controversy great is the mystery of godliness: god was manifest in the flesh, justified in the spirit, seen of angels, preached unto the gentiles, believed on in the world, received up into glory.

Suajili

hakuna mashaka yoyote juu ya ukuu wa siri ya dini yetu: alionekana katika umbo la kibinadamu alithibitishwa na roho kuwa ni mwadilifu, akaonekana na malaika. alihubiriwa kati ya mataifa, aliaminiwa popote ulimwenguni, akachukuliwa juu mbinguni katika utukufu.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,740,280,925 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo