Usted buscó: i left you (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

i left you

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

which had left you devoid of hope,

Suajili

ulio vunja mgongo wako?

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

your lord has neither left you, nor despises you.

Suajili

mola wako mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

kiss your wives .. i left my wife without a kiss

Suajili

wabusuni wake zenu…nilimwacha mke wangu bila kumbusu

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and if you see my kid who i left on her arm missing an arm

Suajili

na kama mtawaona wanangu niliowaacha mikononi mwake wakikosa kukumbatiwa

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

that i might do righteousness in that which i left behind."

Suajili

ili nitende mema sasa badala ya yale niliyo yaacha.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

erastus abode at corinth: but trophimus have i left at miletum sick.

Suajili

erasto alibaki korintho, naye trofimo nilimwacha mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

i left the police station feeling that lebanese citizens have no protection under the law.

Suajili

niliondoka polisi nikijisikia kuwa raia wa ki-lebanoni hawalindwi na sheria.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

from then on, until i left the country in 2013, edom and i met frequently for coffee.

Suajili

tokea hapo, hadi nilipoondoka nchini kenya mwaka 2013, mimi na edom tulikuwa tukikutana mara kwa mara kwa ajili ya kupata kahawa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

my family didn't even know i was in labor or had her until after i left the hospital.

Suajili

familia yangu wala haikujua kwamba nilikuwa ninajifungua au nimempata (mwanagu) mpaka nilipokuwa nimetoka hospitali.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

if they keep aloof and do not fight, and offer peace, god has left you no reason to fight them.

Suajili

basi wakijitenga nanyi, wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi mwenyezi mungu hakukupeni njia kupigana nao.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and when moses returned unto his people, angry and grieved, he said: evil is that (course) which ye took after i had left you.

Suajili

na alipo rudi musa kwa watu wake, naye amekasirika na kuhuzunika, alisema: ni maovu yalioje mlio nifanyia nyuma yangu!

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

the cloke that i left at troas with carpus, when thou comest, bring with thee, and the books, but especially the parchments.

Suajili

utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa karpo kule troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile vilivyotengenezwa kwa ngozi.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

i was told that a guy with a red bag came a few minutes after i left asking “where is the lady whose bag was snatched”.

Suajili

niliambiwa kwamba jamaa mwenye mkoba mwekundu alikuja dakika kadhaa baada ya mimi kuondoka na kuuliza “yuko wapi mwanamke ambaye mkoba wake ulikwapuliwa”.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

the last time was just last week to interview ceo girma wake and i left with a gift of ethiopian coffee and the impression that i’d rarely seen people so passionate or proud about their work and what it does for their country.

Suajili

mara ya mwisho ilikuwa juma lililopita nilipoongea na mkurugenzi mtendaji girma wake na nikaondoka na zawadi ya kahawa ya ethiopia na picha niliyoipata ambayo ni nadra sana kuona watu wenye upendo na kujivunia kazi yao na kile inachokitenda kwa ajili ya nchi yao.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

"that which is left you by allah is best for you, if ye (but) believed! but i am not set over you to keep watch!"

Suajili

alivyo kubakishieni mwenyezi mungu ndiyo bora kwa ajili yenu, ikiwa nyinyi ni waumini. wala mimi siye mlinzi wenu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

"and behold! ye come to us bare and alone as we created you for the first time: ye have left behind you all (the favours) which we bestowed on you: we see not with you your intercessors whom ye thought to be partners in your affairs: so now all relations between you have been cut off, and your (pet) fancies have left you in the lurch!"

Suajili

na mkayaacha nyuma yenu yote tuliyo kupeni, na wala hatuwaoni hao waombezi wenu, ambao mlidai kuwa ni washirika wa mwenyezi mungu kwenu. yamekatika makhusiano baina yenu, na yamekupoteeni mliyo kuwa mkidai.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,791,376,142 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo