Usted buscó: interested? (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

interested

Suajili

nia yako ni kuwabwakizia kiwango fulani tu cha akili ,lakini bado watatekeleza kila kazi ,kila neno utakalowaamuru kufanya.na hawa ndio watu unaowahitaji ''alisema makolokoza na kuendelea ''hatua ya pili ni ngumu sana .hii inahusu kuua watu kuwazika ,kuwafufua na kuwafanyia makafara mengine.lakini hayo tuachie sisi wazee,hayahusiani na shida iliyokuleta

Última actualización: 2015-08-17
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

not interested?

Suajili

si nia?

Última actualización: 2020-10-20
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

are you interested

Suajili

je, wewe ni nia ya

Última actualización: 2023-10-22
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

yes i am interested

Suajili

yes i'm interested

Última actualización: 2023-10-09
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

i'm interested in you

Suajili

nina hamu na wewe

Última actualización: 2018-01-07
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

i'm very interested in you

Suajili

leo nimeamka nina hamu na wewe sana

Última actualización: 2023-06-15
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

so they are not interested in a tarred road either.

Suajili

kwa hiyo hata barabara ya lami inayojengwa kijijini kwao hawana kazi nayo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

if we are not interested to renew it, then it expires.”

Suajili

ikiwa hatuna haja ya kuongeza muda wake, basi (mkataba huo) unapoteza nguvu yake.”

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

these show that many bloggers are interested in rz and referring to us.

Suajili

hiyo inaonyesha kwambakwamba mabloga wengi wanavutiwa na rz na wanatuunganisha kwa viungo hivyo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

have a good day my dear god to add you to your studies and also keep you interested

Suajili

uwe na siku njema mpenzi wangu mungu akuongezee kweny masomo yako pia akulindenakupenda

Última actualización: 2019-11-20
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

if you are interested in taking part, please complete the following registration form.

Suajili

kama unapenda kushiriki, tafadhali jaza fomu ya kujiandikisha.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

3) france did not seem overly interested in peace negotiations before the conflict.

Suajili

3) ufaransa haikuonekana kuvutiwa na jitihada za mazungumzo ya amano kabla ya mgogoro.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

due to public demand, we took the initiative of compiling a guide to help farmers interested in starting mushroom farming in kenya

Suajili

kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga nchini kenya

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

it all started when bob muheebwa asked whether there were other ugandan journalists apart from andrew mwenda and alan kasuja interested in interviewing president kagame.

Suajili

mambo yalianza pale bob muheebwa alipouliza ikiwa kulikuwa na waandishi wengine wa ki-ganda nje ya andrew mwenda na alan kasuja waliopenda kumhoji rais kagame.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

"i am interested about biogas a lot because i believe that it has immense potential not only for nepal but also for neighboring countries like india and bangladesh.

Suajili

"ninavutiwa sana na gesi inayotokana na samadi kwa sababu ninaamini kuwa ina uwezo mkubwa siyo tu kwa napal bali hata kwa nchi jirani kama vile india na bangladeshi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

aparna ray is an independent qualitative research consultant by profession who is keenly interested in people, cultures, communities and social media/software.

Suajili

aparna ray kwa taaluma yeye ni mshauri anayejitegemea kuhusu utafiti yakinifu na anapenda sana kujifunza kuhusu watu, tamaduni, jamii na vyombo vya habari vya kijamii pamoja na mifumo ya kompyuta ya kijamii.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

following a successful round of gatherings in six cities around the world in 2013, members of our community are working to organize opportunities for our readers and others interested to learn more about our work and to become involved in our mission.

Suajili

kufuatia mafanikio ya mikutano kwenye majiji sita duniani kote mwaka 2013, wanafamilia wa global voices wanafanya juhudi za kuandaa fursa kwa wasomaji wetu na wengine wote wanapenda kujifunza zaidi kuhusu kazi zetu kuhusika na shughuli zetu.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

in may, the world bank urged the zambian government not to interfere in determining the floor prices of maize sold by farmers to the food reserve agency and other interested parties in the agri-business chain.

Suajili

mwezi mei, benki ya dunia iitaka serikali ya zambiakutokuingilia upangaji wa bei ya unga wa mahindi unaouzwa na wakulima kwa shirika la hifadhi ya chakula la nchi hiyo na wadau wengine katika sekta ya uchumi wa kilimo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

@maykamel now that #mbareterrorists are attacking people in #tahrir with live ammo, cnn live is not interested to air. #cnn_stop_lying_about_egypt

Suajili

@maykamel wakati huu ambapo mb wamekuwa magaidi na wanashambulia watu kwenye viwanja vya tahrir kwa silaha, matangazo ya moja kwa moja ya cnn hayaoni sababu ya kuonyesha hali hiyo #cnn_stop_lying_about_egypt

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,771,996,086 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo