Usted buscó: intervention (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

intervention

Suajili

nitamuomba peter kunisaidia majukumu yang ya kila siku

Última actualización: 2016-09-15
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

screenshot from the video featuring firs violent intervention.

Suajili

picha za skrini kutoka kwenye video inayoonesha vurugu zilizofanywa na fir wakati walipovamia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

fifa has a strict policy against political intervention, and {xxx}

Suajili

fifa has a strict policy against political intervention, and {xxx}

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

long-term intervention to suppress the pandemic causes social and economic costs.

Suajili

mikakati ya muda mrefu ya kukandamiza janga husababisha gharama ya kijamii na kiuchumi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

education is an area with much need of intervention on the continent, especially rural africa.

Suajili

elimu ni nyanja ambayo inahitaji msaada barani, hasa huko vijijini.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

the spokesman of foreign ministry said the accusation is groundless and warned that the intervention might damage the bilateral relations between the two countries.

Suajili

msemaji wa wizara ya mambo ya nje alisema kuwa shutuma hizo hazina msingi na kuonya kuwa kuingiliwa kunaweza kuharibu mahusiano baina ya nchi hizo mbili.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

and iranian media reports the chemical attack was by "rebels" trying to raise the pressure for an international intervention.

Suajili

vyombo vya habari vya iran vinadai shambulio la kemikali lilifanywa na "waasi" katika juhudi za kutaka kuongeza shinikizo la kimataifa kuingilia kati.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

the release of arroz a few hours later was fueled by massive popular mobilisation in front of the police station combined with the presence of mainstream media and the intervention of jurists.

Suajili

kuachiliwa huru kwa arroz saa chache baadaye kulichochewa kwa kiasi kikubwa na uhamasishaji mkubwa wa watu mbele ya kituo cha polisi ikichangiwa pia na kuwepo kwa vyombo vikuu vya habari na hatua ya wanasheria kuingilia kati.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

last week a leading private university in pakistan was forced to cancel an academic discussion on human rights in its southwestern province balochistan “due to state intervention“.

Suajili

juma lililopita chuo kikuu maarufu cha binafsi nchini pakistani kililazimika kuahirisha mjadala wa kitaaluma kuhusu haki za binadamu kwenye jimbo la kusini magharibi la balochistan “kwa sababu ya kuingiliwa na serikali“.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

the french presidential office (@elysée) announced via twitter that france had accepted to take part in a new military intervention in côte d'ivoire on april 10, 2011:

Suajili

ofisi ya rais wa ufaransa (@elysée) ilitangaza kwa njia ya twita kwamba ufaransa imekubali kushiriki katika shambulio la kijeshi nchini côte d'ivoire siku ya tarehe 10 aprili, 2011:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

our hangout participants included gv syria author, leila nachawati, founder of syria untold, an online storytelling project dedicated to the non-violent syrian uprising; our runet echo editor kevin rothrock who spoke about the putin and mc cain opeds and how they were perceived by the russian internet; amira al hussaini, our mena editor, touched on citizen media and mainstream media coverage of syria within the middle east and north africa; solana larsen, our managing editor spoke about the role of citizen media in mainstream portrayal of syria, ellery biddle our advocacy editor spoke about how the calls for us intervention are being interpreted by us netizens, and ivan sigal our executive director gave his opinion on why syrian coverage is being shaped the way it is around the world.

Suajili

washiriki wa mazungumzo yetu hayo ya mtandaoni walikuwa ni pamoja na mwandishi wa gv syria, leila nachawati, mwanzilishi wa syria untold, mradi wa kupashana habari mtandaoni uliojikita kwenye mapinduzi ya amani yanayofanywa na wananchi wa syria; mhariri wetu wa runet echo kevin rothrock aliyezungumza kuhusu putin na mc cain opeds na namna wanavyotazamwa na mitandao ya urusi; amira al hussaini, mhariri wetu wa mashariki ya kati na afrika kaskazini, aliyegusia habari zilizikuwa zinaandikwa na vyombo vya habari vya kiraia na vyombo vikuu vya habari ndani ya mashariki ya kati na afrika kaskazini; solana larsen, mhariri mtendaji alizungumzia kuhusu wajibu wa vyombo vya habari vya kiraia katika taswira inayojengwa na vyombo vikuu vya habari kuhusu syria, ellery biddle mhariri wa utetezi aliyezungumza namna wito wa kuiomba marekani kuingilia kati mgogoro huo inavyotafsiriwa na raia wa marekani mtandaoni na ivan sigal mkurugenzi mtendaji aliyetoa maoni yake kuhusu namna habari za syria zinavyoumbwa kuwa vile zilivyo duniani kote.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,747,037,103 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo