Usted buscó: marrying (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

marrying

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

and the wives of your genetic sons, and marrying two sisters simultaneously.

Suajili

(pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

there is no sin upon you in marrying them when you have given them their dowries.

Suajili

na wapeni hao wanaume mahari walio toa. wala hapana makosa kwenu kuwaoa mkiwapa mahari yao.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and in exchange of what you enjoy by marrying them pay their bridal-due as an obligation.

Suajili

kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

records show that in 2006 there were nearly 1000 cases of divorce because of husbands marrying another woman.

Suajili

takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2006 kulikuwa na karibu ya kesi 1000 za talaka zilizotokana na mume kuoa mke mwingine.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and those of whom ye seek content (by marrying them), give unto them their portions as a duty.

Suajili

kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

but put a rupee in front of them and they will serve up a round of bacon and ham while marrying a kafir and swearing an oath to satan.

Suajili

lakini wanaweka fedha mbele na wanaweza kuwalisha watu nyama ya nguruwe na mapaja yake yaliyokaushwa wakati wa kufunga ndoa na makafiri na pia wanaweza kula kiapo kwa jina la sheitwani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and when ye have divorced women and they reach their term, place not difficulties in the way of their marrying their husbands if it is agreed between them in kindness.

Suajili

na mtakapo wapa wanawake t'alaka nao wakamaliza eda yao, basi msiwazuie kuolewa na waume zao endapo baina yao wamepatana kwa wema.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

if you doubt that racism still lives inside us all, consider your reaction to the idea of marrying outside your race, particularly if you are white and the other race is black.

Suajili

kama una wasi wasi kwamba ubaguzi wa rangi bado unaishi ndani yetu wote, fikiria unavyojisikia unapopata wazo la kuoa au kuolewa nje ya watu wa rangi yako, hasa wewe ukiwa ni mzungu na mwingine ni mweusi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

when you divorce women and they complete their term, do not hinder them from [re]marrying their husbands, when they honourably reach mutual consent.

Suajili

na mtakapo wapa wanawake t'alaka nao wakamaliza eda yao, basi msiwazuie kuolewa na waume zao endapo baina yao wamepatana kwa wema.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

when you divorce women, and they have reached their term, do not restrain them from marrying their (future) husbands, when they have agreed together with kindness.

Suajili

na mtakapo wapa wanawake t'alaka nao wakamaliza eda yao, basi msiwazuie kuolewa na waume zao endapo baina yao wamepatana kwa wema.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and when you have divorced women and they have fulfilled the term of their prescribed period, do not prevent them from marrying their (former) husbands, if they mutually agree on reasonable basis.

Suajili

na mtakapo wapa wanawake t'alaka nao wakamaliza eda yao, basi msiwazuie kuolewa na waume zao endapo baina yao wamepatana kwa wema.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and they ask you the decree concerning women; say, “allah gives you a decree concerning them – and what is recited to you from the qur’an concerning orphan girls, that you are not giving them which is ordained for them, and you are avoiding marrying them – and concerning the weak children, and that you must firmly establish justice in dealing with the orphans’ rights; and whatever good deeds you do, then allah is well aware of it.”

Suajili

sema: mwenyezi mungu ana kutoleeni fatwa juu yao, na mnayo somewa humu kitabuni kukhusu mayatima wanawake ambao hamwapi walicho andikiwa, na mnapenda kuwaoa, na kukhusu wanyonge katika watoto, na kwamba mwasimamie mayatima kwa uadilifu. na kheri yoyote mnayo fanya mwenyezi mungu anaijua.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,793,946,868 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo