Usted buscó: migration (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

migration

Suajili

uhamiaji

Última actualización: 2014-11-14
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

the best way to ameliorate third world poverty is by massively increasing migration to the west.

Suajili

njia bora zaidi ya kuongeza kasi ya kupunguza umaskini katika dunia ya tatu ni kuongeza uhamiaji kelekea (nchi za) magharibi kwa kiwango kikubwa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

his most acclaimed work is the 1966 novel “season of migration to the north.”

Suajili

kazi yake iliyopata sifa zaidi ni ile ya riwaya ya mwaka 1966 “msimu wa kuhamia kaskazini.”

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

the forced migration review issue 38, the technology issue covers technologies for refugees in particular.

Suajili

jarida la uhamiaji wa kulazimishwa toleo la 38, nakala ya teknolojia inapitia teknolojia hususan kwa ajili ya wakimbizi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

the technology issue by forced migration review can be read online here. this post is part of our special coverage on refugees.

Suajili

nakala ya teknolojia ya jarida la uhamiaji wa kulazimishwa inaweza kusomwa kwenye mtandao hapa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

the idea—a non-profit project—aims to document the experiences of legal but also illegal migration.

Suajili

wazo hili la mradi usio wa kimaslahi umelenga kuweka kumbukumbu ya uhalisia wa hali kwa wahamiaji haramu na pia wale waishio kihalali.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

and if allah had not decreed migration for them, he verily would have punished them in the world, and theirs in the hereafter is the punishment of the fire.

Suajili

na lau kuwa mwenyezi mungu asingeli waandikia kutoka, angeli waadhibu katika dunia. na katika akhera watapata adhabu ya moto.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

“except him who has created me, for he will soon direct me.” (to my place of migration.)

Suajili

isipo kuwa yule aliye niumba, kwani yeye ataniongoa.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

refugees often experience a compound trauma: the situation that caused them to flee in the first place, as well as the fact that many families become separated during migration.

Suajili

wakimbizi mara nyingi hufikwa na athari lukuki: hali ambayo kwanza ilisababisha wakimbie, vile vile ukweli kwamba familia nyingi husambaratika wakati wa kuhama.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

in early and mid-january 2020, the virus spread to other chinese provinces, helped by the chinese new year migration and wuhan being a transport hub and major rail interchange.

Suajili

mwanzoni na katikati ya januari 2020, virusi vilienea hadi mikoa mengine ya uchina, ikifadhiliwa na usafiri wa mwaka mpya wa kichina na wuhan kuwa kituo cha usafiri na kituo kuu cha ubadilishanaji wa reli.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

a project that many believe in, judging by the sponsors: from al jazeera, to the ministry of foreign affairs of the netherlands, to the international organisation for migration and the european union fund for repatriation.

Suajili

mradi ambao wengi wanauamini, wakiupima kwa kuzingatia wafadhili wake: kutoka al jazeera, hadi wizara ya mambo ya nje ya uholanzi, hadi shirika la kimataifa la uhamiaji pamoja na mfuko wa umoja wa ulaya wa urudishaji wa wahamiaji makwao.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

and allah hath given you in your houses an abode, and hath given you (also), of the hides of cattle, houses which ye find light (to carry) on the day of migration and on the day of pitching camp; and of their wool and their fur and their hair, caparison and comfort for a while.

Suajili

na mwenyezi mungu amekujaalieni majumba yenu yawe ni maskani yenu, na amekujaalieni kutokana na ngozi za wanyama nyumba mnazo ziona nyepesi wakati wa safari zenu na wakati wa kutua kwenu. na kutokana na sufi zao na manyoya yao na nywele zao mnafanya matandiko na mapambo ya kutumia kwa muda.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Obtenga una traducción de calidad con
7,773,043,939 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo