Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
the founder of modern turkey, mustafa kemal atatürk, died there in 1938.
mbunifu wa uturuki ya kisasa, mustafa kemal atatürk, alifariki akiwa kwenye kasri hili mwaka 1938.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mustafa al-kayali, coordinator of the steering committee for the gaza freedom march, reports:
mustafa al-kayali, mratibu wa kamati ya maandalizi ya maandamano ya uhuru gaza, anataarifu:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
as it turns out mustafa was also a precocious student educated in the west but simultaneously harbors a violently hateful and complex relationship with his western identity and acquaintances.
iliondokea kuwa mustafa pia alikuwa ni msomi aliyesoma katika nchi za magharibi lakini alikuwa amejawa na chuki na uhusiano wa ajabu na marafiki zake wa kutoka nchi za magharibi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
the story of mustafa's troubled past in europe and in particular his love affair with a british woman, forms the center of the novel.
hadithi ya maisha magumu ya mustafa akiwa ulaya na hasa uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamke wa kiingereza, ndiyo unachukua nafasi ya kati katika riwaya hiyo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
on his arrival home, he encounters a new villager ("mustafa sa'eed") who exhibits none of the adulation for his achievements that most others do, and displays an antagonistically aloof nature.
alipowasili nyumbani, alikutana na mwanakijiji mpya (“mustafa sa’eed”) ambaye hababaishwi na mafanikio aliyoyapata (mhusika), na anaonyesha maya kwa kutojihusisha naye.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible