Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
nationwide strike delivers blow to malawi's president · global voices
mgomo wa nchi nzima wamshitua rais wa malawi
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
the pandemic has resulted in travel restrictions and nationwide lockdowns in several countries.
ugonjwa huu umesababisha vizuizi vya kusafiri na nchi kadhaa kuzuia watu kutoka nje.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
quest diagnostics similarly made nationwide covid-19 testing available as of 9 march 2020.
quest diagnostics vilevile ilifanya vipimo vya covid-19 kupatikana kufikia tarehe 9 machi 2020.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
by 29 march, more than 1.5 billion children and other students were affected by nationwide school closures.
kufikia tarehe 29 machi, zaidi ya watoto bilioni 1.5 na wanafunzi wengine waliathirika na kufungwa kwa shule kote nchini.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
as of 5 march 2020 labcorp announced nationwide availability of covid-19 testing based on rt-pcr.
kufikia tarehe 5 machi 2020 labcorp ilitangaza kuwepo kwa kipimo cha covid-19 katika taifa inayotumia rt-pcr.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
a “million person march” towards the presidential palace is planned for tomorrow and a nationwide strike planned for wednesday.
“maandamano ya watu milioni moja” kuelekea kasri ya rais (ikulu) yamepangwa kufanyika kesho na mgomo wa kitaifa umepangwa kufanyika jumatano.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
if something similar could be rolled out nationwide allowing people with just a mobile phone to post questions and receive responses from party candidates this could prove very useful in engaging all south africans.
kama mpango huu utasambazwa nchini kote na kuruhusu watu wenye simu za mkononi kutuma maswali yao na kupokea majibu kutoka kwa wagombea, hatua hiyo itakuwa yenye manufaa sana katika kuwashirikisha waafrika ya kusini wote.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
facebook page saprotiva ("resistance") has photos from the nationwide demonstrations as well, and there is also a storify collection with reactions, here.
ukurasa wa facebook wenye jina saprotiva ("ukinzani") umekusanya picha za maandamano ya nchi nzima na pia, kuna mkusanyiko wa habari na maoni here.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
by 19 march, 50% of students worldwide were affected by school closures, corresponding to nationwide closures in 102 countries and local closures in 11 countries affecting 850 million children and youth.
kufikia 19 machi, 50% ya wanafunzi ulimwenguni waliathiriwa na kufungwa kwa shule, inayofanana na kufungwa kwa shule katika nchi 102 na kufungwa katika maeneo mengine katika nchi 11 na kuathiri watoto na vijana milioni 850.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
during the nationwide strike, schools were closed and health centers were left with bare-bones staff as doctors, nurses, teachers, and other civil servants walked off the job.
wakati wa mgomo huo nchini kote, shule zilifungwa na vituo vyote vya afya vilibaki bila ya wafanyakazi kwani madaktari, wauguzi, waalimu na wafanyakazi wengine wa umma hawakuonekana makazini.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
according to unesco monitoring, 188 countries have implemented nationwide closures and 5 have implemented local closures, impacting about 99.4% of the world's student population.
kwa mujibu wa ufuatilizi wa unesco, nchi 188 zimetekeleza kufungwa kwa sehemu kadhaa katika taifa na 5 zimetekeleza kufungwa kwa sehemu fulani, na kuathiri takriban 99.4% ya idadi ya wanafunzi duniani.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
burmese pro-democracy icon and opposition leader aung san suu kyi was released from detention by the military-backed government of myanmar saturday afternoon, a week after the holding of a nationwide election which was dominated by pro-administration candidates.
kiongozi wa upinzani na alama ya wapenda demokrasia nchini burma, aung san suu kyi aliachiwa huru kutoka kizuizini mchana siku ya jumamosi na serikali inayoungwa mkono na jeshi la myanmar baada ya kuendeshwa kwa uchaguzi wa taifa ambao ulitawaliwa na wagombea wanaoungwa mkono na serikali.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: