Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
• create opportunities for higher incomes for all
• tutengeneze fursa za kujipatia kipato cha juu kwa wote
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
it also makes people aware of their rights and opportunities.
pia inawafanya watu wafahamu haki zao na fursa zilizopo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
the diversity of bat covs provides ample opportunities for the emergence of novel hcovs.
aina mbalimbali za bat cov hutoa fursa tele za kuibuka kwa hcov vipya.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
embracing opportunities, staying positive, and cherishing shared moments in the new month.
heri ya mwezi mpya
Última actualización: 2023-09-30
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
in contrast, the plane crash in perm last year provided many opportunities for citizen reporting:
hii ni tofauti, ajali ya ndege kule perm mwaka jana ambayo ilitoa fursa nyingi kwa uanahabari wa kiraia:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
additionally, not to be outdone by his many challenges, chiluba went as far as tanzania looking for opportunities.
na zaidi, ili kwamba asishindwe na changamoto zilizomkabili, chiluba alikwenda hata tanzania kutafuta fursa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
schooling provides essential learning and when schools close, children and youth are deprived opportunities for growth and development.
shule zinatoa mafunzo muhimu na shule zinapofungwa, watoto na vijana wanakosa fursa za kukua na maendeleo.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons live together in harmony and with equal opportunities.
nimekuwa na ndoto ya jamii ya kidemokrasia na huru ambayo watu wote wanaishi pamoja kwa mshikamano na fursa sawa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
connectas appears in a moment where many opportunities converge in the region, and a need of information of their reality with a transnational prospect.
connectas inajitokeza kwenye mkutaniko wa fursa nyingi katika eneo hilo, na hitaji la taarifa zenye ukweli wenye manufaa ya mataifa ya bara hilo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"one consequence of teen mothers is woman lose development opportunities from a professional viewpoint, take any job in order to make some income.
"matokeo moja wapo ya kuwa mama katika kipindi cha utoto ni mwanamke kukosa fursa za kujiendeleza kitaaluma, na hivyo kujikuta akifanya kazi yoyote ile kujipatia kipato.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
electricity and food shortages, raising inflation and inflammable speech’s from the president start to create new winds and opportunities to the opposition.
upungufu wa nishati ya umeme na chakula, ongezeko la bei za bidhaa na hotuba kali za rais zinaanza kutengeneza uelekeo mpya na fursa nzuri kwa upinzani.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
@gbengasesan is a nigerian social entrepreneur with keen interest in the use of icts for development; towards the creation of improved livelihood opportunities.
@gbengasesan ni mjasiriamali wa kijamii wa naijeria mwenye kuvutiwa sana matumizi ya teknohama katika maendeleo; kuelekea kwenye kuzalisha fursa zilizo bora na zenye uhakika.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
successful people are always looking for opportunities to help others. unsuccessful people are always asking, ‘what’s in it for me?'”
watu waliofanikiwa daima wanatafuta fursa za kusaidia wengine. watu wasiofanikiwa huwa wanauliza, 'ni nini kwangu?' ”
Última actualización: 2020-02-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the impacts of climate change are expected to seriously (and disproportionately) affect the livelihoods, health, and educational opportunities of people living in poverty.
athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinatarajiwa kuathiri vibaya zaidi (na pasipo uwiano) mwenendo wa maisha, afya, na fursa za kielimu kwa watu wanaoishi kwenye ufukara.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
can't miss the opportunity
wewe ni mrembo sana
Última actualización: 2022-02-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: