Usted buscó: pension (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

pension

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

the mother's pension is 4,500 rubles .

Suajili

pensheni ya mama huyu ni kiasi cha rabo 4,500 kwa mwezi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

president park is under fire for her retreat on campaign promises of higher pension and tuition subsidies.

Suajili

rais park yuko kwenye wakati mgumu kwa r ahadi yake aliyoitoa wakati wa kampeni kuwa angepandisha ruzuku ya pensheni gharama za mafunzo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

moreover, since 2012, china’s pension system has been in crisis with a shortfall of 2.9 trillion us dollars.

Suajili

kwa nyongeza, tangu mwaka 2012, mfumo wa malipo ya uzeeni wa china umekuwa katika mgogoro kwani umekabiliwa na upungufu wa kiasi cha fedha cha dola za marekani trilioni 2.9.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

as stated in the notice, the reason for this is the lack of coordination of the ministry of labor and social policy, piom and pro regarding the new law, which provides freelancers to also pay pension and disability insurance.

Suajili

kama ilivyoelezwa katika taarifa hiyo, sababu kubwa ya kushindikana kutekelezwa kwa sheria hii mpya ni kukosekana kwa mawasiliano mazuri kati ya wizara ya kazi na sera ya kijamii, piom na pro, sheria inayowataka wafanyakazi walioajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja kutoa mchango wa pensheni pamoja na bima ya ulemavu.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

some complained that they can't get enough time off from work to visit their parents even if they wanted to, while others thought that the law was introduced to make up for china's brewing pension issue.

Suajili

baadhi ya watu walilalama kuwa, hawawezi kupata muda wa kutosha kutoka kazini na kwenda kuwatembelea wazazi wao hata kama wangekuwa tayari kufanya hivyo, wakati wengine wanafikiri kuwa, sheria hiyo ilianzishwa kwa lengo la kuimarisha hali mbaya iliyopo ya mfumo wa posho ya uzeeni nchini china.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

copyright agency “berin” said that they received a notice from pension and disability insurance fund (piom) asking them not to pay fees higher than 9,590 denars until information on how the calculations would be made is not published on the website.

Suajili

wakala wa hati miliki “berin” walisema kuwa walipokea taarifa kutoka mfuko wa pensheni na bima ya ulemavu (piom) ikiwataka kutokutoa ada zaidi ya denari 9,590 mpaka pale taarifa ya namna ya ukokotoaji unavyofanyika itakapositishwa kuwekwa kwenye tovuti.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,748,752,663 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo