De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
portuguese
kireno
Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:
there are 20 languages spoken in mozambique, according to the government website, apart from the official portuguese.
kuna lugha 20 zinazozungumzwa nchini msumbiji, kwa mujibu wa tovuti ya serikali, zaidi ya lugha ya serikali ya kireno.
in november 2003, a portuguese friend and i decided to travel to guinea-bissau in a renault 4l.
mwezi novemba 2003, mimi na rafiki yangu wa kireno tuliamua kusafiri kwenda kutembelea guinea-bissau kwa kutumia gari aina ya renault 4l.
the language is originated from the galician-portuguese of medieval times, and it was spoken at all the county of portucale.
lugha hiyo asili yake ni ki-galisia na kireno cha zama za kale, na ilikuwa ikizungumzwa katika jimbo lote la portucale
the galician sounds like a cross between spanish and portuguese, somewhat like a dialect originated from the second and enriched with vocabulary and accent of the first.
lugha ya ki-galisia inasikika kama vile ni mchanganyiko wa kihispania na kireno, kana kwamba ni lugha iliyotokana na kireno na kuboreshwa na misamiati na lafudhi za kihispania.
for instance, italian users will have global voices in italian suggested to them, and users of flipboard in brazil will have global voices in portuguese suggested to them.
kwa mfano, watumiaji wa kiitalia watapendekezewa global voices kiitalia, na watumiaji wa mtandao wa flipboard watapendekezewa global voices kireno .
further counselled to go to portugal, mp said she did not trust the portuguese and said she would feel better in guinea-bissau with those responsible for the transition.
baadaye akashauriwa kwenye ureno, hata hivyo alisema hakuwa anawaamini wareno na kusema alijisikia afadhali angeenda guinea-bissau kuwa na wale wanaohusika na wakati huo wa mpito.
angola and brazil have a special relationship towards each other, partially because of their common language and their shared colonial past - both countries were part of the portuguese empire - and the cultural ties that stem from this shared history.
angola na brazil zina uhusiano maalum baina yao, kutokana na matumizi ya lugha moja na pamoja na historia yao ya kutawaliwa huko nyuma - nchi hizi mbili zilikuwa sehemu ya himaya ya wareno – na utamaduni wa pamoja unaotoka na historia ya asili moja.