Usted buscó: protein (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

protein

Suajili

protini

Última actualización: 2014-10-13
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

however, the n protein of sars-cov can help the virus escape from the immune responses.

Suajili

hata hivyo, protini ya n ya sars-cov inaweza kusaidia virusi kukwepa makali ya kinga ya mwili.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

the main replicase-transcriptase protein is the rna-dependent rna polymerase (rdrp).

Suajili

protini kuu ya replicase-transcriptase ndio rna polymerase inayotegemea rna (rdrp).

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

after attachment, a protease of the host cell cleaves and activates the receptor-attached spike protein.

Suajili

baada ya kuambatisha, protisi ya seli mama hukwamilia na kuamilisha kipokezi kilichoambatishwa kwenye protini ya ncha kazi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

for example, the acquisition or loss of novel protein-coding genes has the potential to drastically modify viral phenotypes.

Suajili

kwa mfano, kupata au kupoteza jeni mpya inayosimba protini kuna uwezekano wa kubadilisha haraka sampuli ya virusi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

ace2 protein contains an n-terminal peptidase m2 domain and a c-terminal collectrin renal amino acid transporter domain.

Suajili

protini ya ace2 ina kikoa cha m2 cha peptidi ya temino n na kikoa cha kusafirisha asidi ya amino ya figo ya kolektini temino c

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

a number of the nonstructural proteins coalesce to form a multi-protein replicase-transcriptase complex (rtc).

Suajili

idadi ya protini zisizokuwa na muundo hushirikiana ili kuunda multi-protein replicase-transcriptase complex (rtc).

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

the levels of liver and muscle enzymes and myoglobin were increased in the blood of some patients, and c-reactive protein and erythrocyte sedimentation were increased in the blood of most patients.

Suajili

viwango vya enzaimu za ini na misuli na myoglobin viliongezeka kwenye damu ya baadhi ya wagonjwa na protini ya c-reactive na kusafishwa kwa erythrocyte viliongezeka kwenye damu za wengi wa wagonjwa.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

in the case of sars-cov-2, such research focuses on the s-spike protein that helps the virus intrude the ace2 enzyme receptor.

Suajili

katika tukio la sars-cov-2, utafiti kama huo unazingatia protini ya s-spike ambayo husaidia virusi kuingiza kipokezi cha kimeng'enya cha ace2.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

based on the comparative analysis between isolates of human and civet sars-covs, sars-cov is thought to undergo rapid adaptation in different hosts, particularly with mutations at the rbd of the s protein.

Suajili

kulingana na uchanganuzi wa kiulinganisho kati ya sars-cov ndani ya binadamu na ngawa, sars-cov inadhaniwa kuzoeleka haraka ndani ya wabebaji tofauti, hasa kwa mabadiliko katika rbd ya protini ya s.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Inglés

proteins

Suajili

protini

Última actualización: 2013-07-24
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Obtenga una traducción de calidad con
8,031,813,056 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo